Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Si takwa kwa Wakristo kushika sabato ya kila juma. Wakristo wako chini ya “sheria ya Kristo,” ambayo haitii ndani kushika Sabato. (Wagalatia 6:2; Wakolosai 2:16, 17) Kwa nini tunasema hivyo kwa uhakika? Kwanza, fikiria chanzo cha SabatoNeno la Mungu halijabadilika,
Yesu ndiye Neno, na hakuwahi kubadili Sabato, kukumbuka Uumbaji Kwa kuabudu siku ya Saba ya juma.
Wewe seventh-day adventist mwenzangu jua kwamba hata kanisani mwako ushoga upo, kuna pastor amejitokeza na kusema yeye ni bisexual na conference wamemjadili na hawakufuta certificate yake.Sisi tumeshastuka,
Tunajitofautisha nao Kwa kurudisha IBADA Jumamosi kama Kanisa la kwanza.
Ninyi subirieni mtakapoletewa Padr shoga ndo mtajua.
Wacha nitulize fuvu langu ushavuruga😂Kwendraaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kidogo, ushoga upo kila kona ila tu Roma ndio wameidhinisha rasmi.Wewe seventh-day adventist mwenzangu jua kwamba hata kanisani mwako ushoga upo, kuna pastor amejitokeza na kusema yeye ni bisexual na conference wamemjadili na hawakufuta certificate yake.
Ushoga upo kweny kila dhehebu asaiv, kitakachoweza kukukomboa ni wewe tuu na imani yako na sio kuhamahama makanisa kila siku.
Pastor Saša Gunjević First Adventist Pastor to Maintain Credentials After Coming Out – Adventist Today
SHERIA ya kristo ni Ile Ile.Si takwa kwa Wakristo kushika sabato ya kila juma. Wakristo wako chini ya “sheria ya Kristo,” ambayo haitii ndani kushika Sabato. (Wagalatia 6:2; Wakolosai 2:16, 17) Kwa nini tunasema hivyo kwa uhakika? Kwanza, fikiria chanzo cha Sabato
TabuleleeeKwendraaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna aliyebisha, Biblia haibadiliki na haitokaa kubadilika.SHERIA ya kristo ni Ile Ile.
Sijajua why UK news Meadia Companies wanashambulia sana Wakatoliki huu mwaka 2023😁Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu!
---
ROME (AP) — Pope Francis has formally approved allowing priests to bless same-sex couples, with a new document explaining a radical change in Vatican policy by insisting that people seeking God’s love and mercy shouldn’t be subject to “an exhaustive moral analysis” to receive it.
The document from the Vatican’s doctrine office, released Monday, elaborates on a letter Francis sent to two conservative cardinals that was published in October. In that preliminary response, Francis suggested such blessings could be offered under some circumstances if they didn’t confuse the ritual with the sacrament of marriage.
The new document repeats that rationale and elaborates on it, reaffirming that marriage is a lifelong sacrament between a man and a woman. And it stresses that blessings should not be conferred at the same time as a civil union, using set rituals or even with the clothing and gestures that belong in a wedding.
But it says requests for such blessings should not be denied full stop. It offers an extensive definition of the term “blessing” in Scripture to insist that people seeking a transcendent relationship with God and looking for his love and mercy should not be subject to “an exhaustive moral analysis” as a precondition for receiving it.
“Ultimately, a blessing offers people a means to increase their trust in God,” the document said. “The request for a blessing, thus, expresses and nurtures openness to the transcendence, mercy, and closeness to God in a thousand concrete circumstances of life, which is no small thing in the world in which we live.”
He added: “It is a seed of the Holy Spirit that must be nurtured, not hindered.”
The Vatican holds that marriage is an indissoluble union between man and woman. As a result, it has long opposed same-sex marriage.
And in 2021, the Vatican’s Congregation for the Doctrine of the Faith said flat-out that the church couldn’t bless the unions of two men or two women because “God cannot bless sin.”
That document created an outcry, one it appeared even Francis was blindsided by even though he had technically approved its publication. Soon after it was published, he removed the official responsible for it and set about laying the groundwork for a reversal.
In the new document, the Vatican said the church must shy away from “doctrinal or disciplinary schemes, especially when they lead to a narcissistic and authoritarian elitism whereby instead of evangelizing, one analyzes and classifies others, and instead of opening the door to grace, one exhausts his or her energies in inspecting and verifying.”
It stressed that people in “irregular” unions — gay or straight — are in a state of sin. But it said that shouldn’t deprive them of God’s love or mercy.
“Thus, when people ask for a blessing, an exhaustive moral analysis should not be placed as a precondition for conferring it,” the document said.
AP News
Kwendraaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbio nyenge
oooh haikuathili??Hapana, ila wew mpenzi wa jinsia moja akifanywa wew binafs inakuafect vipi
Tokaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha nitulize fuvu langu ushavuruga[emoji23]
Mimi Si msabato, wasabato Si wakristo.Wewe seventh-day adventist mwenzangu jua kwamba hata kanisani mwako ushoga upo, kuna pastor amejitokeza na kusema yeye ni bisexual na conference wamemjadili na hawakufuta certificate yake.
Ushoga upo kweny kila dhehebu asaiv, kitakachoweza kukukomboa ni wewe tuu na imani yako na sio kuhamahama makanisa kila siku.
Pastor Saša Gunjević First Adventist Pastor to Maintain Credentials After Coming Out – Adventist Today
jikite kwenye mada mkuu,Mnatutakaga wenye makalio makubwa ya nini kama mnajua ufirauni ni dhambi?'Nyimbo za bongo flava zote ni ushoga na mnawashangilia.
Sawa,kuna uwezekano wa kupeleka Hamas Vatican? Ili tusafishe hii takatakahawezi kuruhusu hivi hivi.hao jamaa wanakatazana wasioe wala kupiga nyeto,mwisho wa siku nyege zinahamia nyuma.hapo ndipo utata unapoibuka
Nimeangua kicheko kikaliii 😆😆Papa angechumbiwa yeye kwanza aone kama kuna raha ya kulazwa bila nguo na kushikiliwa matako usiku kucha.
🚮
Mnalipwa hela nyingi sana ili kueneza huu ushetwani ila hamtaweza nakuhakikishia. Kapigeni promo huko huko ulipoanzia.Uamuzi mzuri sana kwa kanisa katoliki, hakuna sababu ya kuwabagua wapenzi wa jinsia moja.. ni haki Yao kupendana.
Sasa nalala , umeleta jibu WASABATO SI WAKRISTO na mambo mengi ya Kristo hawayakubali.Mimi Si msabato, wasabato Si wakristo.
Ni mkristo ambaye tumeamua kurudi kuifanya Siku kuu ya IBADA iwe Siku ya Saba ya juma kama ilivyokuwa Kanisa la kwanza.