Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Kanisa Katoliki lina utaratibu wake.

Kama ni kweli tutayaona kanisani yakifanyika na si vinginevyo.
sasa mpaka BBC wameripoti taarifa hiyo ya kuwabariki wapenzi wa jinsia moja we uko dunia ya wapi usiyejua nini kinatokea dunia hii? Ushaambiwa dunia imekuwa kijiji ukatengenezewa mpaka na vyombo vya teknolojia ya kupata habari zinazotokea kijijini duniani ujue kwa haraka we hutumii vyombo hivyo, unataka ujulishwe vipi uamini?
 
Acheni uzushi na kushabikia uongo. Kanisa katoliki liko imara sana na ndio maana limedumu kwa miaka zaidi ya 2000. Uzushi wa aina hiyo umekuwepo lakini daima umegonga mwamba
uongo gani huo urushwe mpaka kwenye chombo cha habari kikubwa duniani cha BBC?
 
Ingekua vizuri ungetuwekea na huo waraka tuusome wote tujionee wenyewe, naona Kama habari iko nusunusu[emoji848]
Hakuna haja ya walaka. Nimeisoma hiyo English nikabaini ni ya papa kweli. Soma kwa kina hicho kimombo utagundua kitu mkuu
 
Acheni uzushi na kushabikia uongo. Kanisa katoliki liko imara sana na ndio maana limedumu kwa miaka zaidi ya 2000. Uzushi wa aina hiyo umekuwepo lakini daima umegonga mwamba
Ni kwa Neema tu.

Embu Gugo kilicho mtokea papa Mwaka 1798. Na huyu kinaweza kikamtokea.

Kanisa lilishaacha mambo ya Mungu linafuata ya Dunia na masanam kibao.
 
Mfupa mgumu kwa mapadri wa kibongo, bongo bado sana mashoga hawaonekana kufanya harakati zao waziwazi kama uganda na kenya. Mashoga bongo ni kama hawapo, hawasumbui kutaka watambuliwe kuwa wapo. Sasa kama watakuwepo itawawia vigumu mapadiri wa kibongo kuwafungisha ndoa, labda atokee padri mzungu afungishe hiyo ndoa kibishi kama kutekeleza agizo la kiongozi wao mkuu alivyoamua wapenzi wa jinsia moja wabarikiwe. Huyu papa ingefaa awajibishwe kwa kuharibu maadili ya kanisa katoliki duniani.
 
Kaka kanisa lilishanyakuliwa siku nyingi dhiki kuu ilishapita muda mrefu
Na Kristo yupo na kanisa lake kama alivyosema sitawaacha yatima naondoka kwenu naja kwenu
 
Acheni uzushi na kushabikia uongo. Kanisa katoliki liko imara sana na ndio maana limedumu kwa miaka zaidi ya 2000. Uzushi wa aina hiyo umekuwepo lakini daima umegonga mwamba
 
Attachments

  • Screenshot_2023-12-19-07-08-26.png
    Screenshot_2023-12-19-07-08-26.png
    67.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom