Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Akisema anabariki hilo ina maana sasa tendo la kwenda na kinyume na maumbile limepitishwa halina laana
 
Kipindi cha Dp World mlikuja na kelele nyingi. Sasa kwenye hili swala ndipi inabidi msimamo wenu uonekane.

Kwanza nimetoka kumpigia mke wangu simu aache mara moja kuwaruhusu watoto kwenda mafundisho.

Maadili ya watoto wetu yapo hatarini. Kwenye TV kumejazana ushoga, kwenye makanisa napo wanabariki ushoga, kweli?

Mwanzo nilikua naona katoliki ndo safe haven kwa ajili ya future nzuri ya kimaadili ya watoto lakini naona nilikosea.

Wapi Kitima? Wapi TEC?
 
Hao mapadri wa Africa pamoja na kua na phd za theology ila hutumika kama rubber stamp hawana lolote, are "educated fools"
Hao mashoga walitaka tuchukue ushauri wakishonga kuhusu bandari yetu.View attachment 2847001
 
hao ngumu kuwapigia kelele wazungu,,,wengi wanalishwa na kugharamiwa na wazungu,,kuwafokea maokoto yatapungua au kukata kabisa
Sasa bora wawe wanakaa kimya tu.

Hata dp world yenyewe si kapewa bandari mwarabu.
 
Pope Francis ameyakimbia majukumu yake Duniani, et yeye anajificha kwenye hoja ya kuwa yeye hastahili kusema wale hawastahili!

Niwapongeze waliochanganyikiwa kumsikia hivyo hasa this Bishop Joseph Strickland wa huko Texas.

Ni imani yangu baada ya kuchanganyikiwa mtaibuka mkiwa mmechangamka kuyahifadhi maadili ya zamani.
 
Kanisa Katoliki linazongwa zongwa na maadui wengi ambao wanalipiga vita kwa njia mbalimbali ikiwemo ya kulichafua na kulizushia kila aina ya uongo,sasa Kuhusu Papa Francis na hbr ya ndoa,kinachosemwa ni uzushi tu.Ukweli wenyewe someni hapo chini
IMG-20231219-WA0021.jpg

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2846912

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Screenshot_20231219_114900.jpg
hata CNN hawakusoma document?
Ukiona jambo limetoka halafu kinahitaji ufafanuzi kama ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba yako kuwa hakumaanisha hivi hakumaanisha vile ujue kuna shida.
 
Ni kwamba hutaki kuamini ulichosikia kwa papa au unahitaji kujipa moyo au ndio undezi wa kufikiria kila kitu ni ligi tu?

Kuwa na dini sio dhambi ila dhambi ni kufikiria dini ndio maisha yako, kufikiria wachungaji, mapadre na masheikh sio binadamu ila wana uungu fulani.

We dogo amka ujipambanie. Acha ujinga
 
Dini ni biashara yenye mfumo unaozingatia masilahi yake,zingine ni propaganda za kuteka akili za wateja.
 
Hapo ndipo ulipopigiwa na papa ukaamua kumtetea kila anachofanya.

Danieli ndio kitabu kimetabili hadi kuzaliwa kwa masihi (Daniel 9;24). Ndio kitabu kimetabili hadi anguko la papa.

Ndio maana huko Rumi hawawezi wakakuruhu usome. Ila kwa vile unaakili yako, Leo kasome Daniel 10 uone namna Yesu ametabiliwa kuzaliwa na mwaka wake wakubatizwa na kuteswa.

Soma Danieli 9;24-27. Unaweza ukazama YouTube ulinganishe.
SIwezi kuendelea kubishana wafuasi wa mazushi Hellen White
 
LINI UMESKIA UISLAM UMETOA BARAKA KWA VITENDO VYA UFIRAUNI NA USHOGA??MBONA UNATAKA KUHAMISHA GOLI??

RUKSA HIYO PAPA HAJATOA KWA WAISLAM,AMEITOA KWENU NYINYI WANA KONDOO WAKE ILI MKACHEZEANE MAVI KWA UHURU,SASA KULIKONI LAWAMA UNATAKA KUTUPA SISI WEWE KAFIRI??TEH TEH TEH
Linafiki limoja wewe! Kwani hata ikitokea huyo Papa akahalilisha huo upuuzi kutokana na mila zao za wati weupe, itaniathiri vipi mimi ambaye ni mpingaji wa hivyo vitendo?

Ila nyinyi wanafiki ndiyo mnao ongoza kwa hivyo vitendo! Ila mkija humu jukwaani, mnajikosha. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom