Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umelaaniwaMaamuzi sahihi kabisa, wapenzi wa jinsia Moja ni binadamu kama wengine. Wanastahili kuishi kwa uhuru.
Hao mapadri wa Africa pamoja na kua na phd za theology ila hutumika kama rubber stamp hawana lolote, are "educated fools"Kipindi cha Dp World mlikuja na kelele nyingi. Sasa kwenye hili swala ndipi inabidi msimamo wenu uonekane.
Kwanza nimetoka kumpigia mke wangu simu aache mara moja kuwaruhusu watoto kwenda mafundisho.
Maadili ya watoto wetu yapo hatarini. Kwenye TV kumejazana ushoga, kwenye makanisa napo wanabariki ushoga, kweli?
Mwanzo nilikua naona katoliki ndo safe haven kwa ajili ya future nzuri ya kimaadili ya watoto lakini naona nilikosea.
Wapi Kitima? Wapi TEC?
Inasikitisha sanaHao mapadri wa Africa pamoja na kua na phd za theology ila hutumika kama rubber stamp hawana lolote, are "educated fools"
Walidhani Tanzania ni mali ya kanisa,Inasikitisha sana
Sasa bora wawe wanakaa kimya tu.hao ngumu kuwapigia kelele wazungu,,,wengi wanalishwa na kugharamiwa na wazungu,,kuwafokea maokoto yatapungua au kukata kabisa
Kanisa Katoliki linazongwa zongwa na maadui wengi ambao wanalipiga vita kwa njia mbalimbali ikiwemo ya kulichafua na kulizushia kila aina ya uongo,sasa Kuhusu Papa Francis na hbr ya ndoa,kinachosemwa ni uzushi tu.Ukweli wenyewe someni hapo chini
View attachment 2846912
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nimetafuta nimekosa na ndiyo maana nikasema wewe unipe
SIwezi kuendelea kubishana wafuasi wa mazushi Hellen WhiteHapo ndipo ulipopigiwa na papa ukaamua kumtetea kila anachofanya.
Danieli ndio kitabu kimetabili hadi kuzaliwa kwa masihi (Daniel 9;24). Ndio kitabu kimetabili hadi anguko la papa.
Ndio maana huko Rumi hawawezi wakakuruhu usome. Ila kwa vile unaakili yako, Leo kasome Daniel 10 uone namna Yesu ametabiliwa kuzaliwa na mwaka wake wakubatizwa na kuteswa.
Soma Danieli 9;24-27. Unaweza ukazama YouTube ulinganishe.
Linafiki limoja wewe! Kwani hata ikitokea huyo Papa akahalilisha huo upuuzi kutokana na mila zao za wati weupe, itaniathiri vipi mimi ambaye ni mpingaji wa hivyo vitendo?LINI UMESKIA UISLAM UMETOA BARAKA KWA VITENDO VYA UFIRAUNI NA USHOGA??MBONA UNATAKA KUHAMISHA GOLI??
RUKSA HIYO PAPA HAJATOA KWA WAISLAM,AMEITOA KWENU NYINYI WANA KONDOO WAKE ILI MKACHEZEANE MAVI KWA UHURU,SASA KULIKONI LAWAMA UNATAKA KUTUPA SISI WEWE KAFIRI??TEH TEH TEH