Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

kuna kitu hakipo sawa!
inawezekana katika tafsiri au huwenda msemaji hakueleweka au lililorahisi kabisa nafsi yake imemwongoza hivyo.
lakini vyovyote vile bado Kanisa kanisa litabaki Katoliki la mitume na kamwe nguvu za kuzimu hazitalishinda.
yanayopita ni mapito na nimagumu lakini naamini kwa muundo wa kanisa mahalia viko vitu haviwezi kufanyika Tanzania bado Kanisa litaheshimu mila, desturi zetu kama watanzania.
kila kanisa mahalia lina mamlaka kamili katika utendaji wake hivyo tusitegemee jambo ovu na lisikemewe ndani ya kanisa la Tanzania.
Swala la kuukubali ushoga kwa namna moja au nyingine halikuanza ndani ya Kanisa Katoliki pekee pia hiki kitu kilisikika mwanza Anglican church lakini mpaka leo kanisa la Anglican la Tanzania bado limesimama kwa uadilivu katika imani kwa kadri ya taratibu zetu kama watanzania.
nakubali kuwa inawezekana Pope kazungukwa na genge la washauri waliowaovu lakini na wao watapita lakini kanisa litasimama.
mathayo18:16 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
 
Namsubiri padri ki
wakuu habar ya KANISA KATOLIKI kubariki USHOGA au mapenzi ya jinsia Moja.....Kila mtu anafahamu, wale wazee wa WARAKA nataka nione uwezo wao wa kuandika, na WARAKA huo USOMWE kwenye Kila kigango au jumuiya...yaani wafanye kama vile walivyofanya DP WORLD.
Time nimtoe marinda au padri nyaisonga ni nimtoe marinda
 
wakuu habar ya KANISA KATOLIKI kubariki USHOGA au mapenzi ya jinsia Moja.....Kila mtu anafahamu, wale wazee wa WARAKA nataka nione uwezo wao wa kuandika, na WARAKA huo USOMWE kwenye Kila kigango au jumuiya...yaani wafanye kama vile walivyofanya DP WORLD.
Tunasoma waraka kama unatuhusu, hayo ya ushoga ni ya huko Vatican hayatuhusu sisi wa kwa mpalange.
 
Jeuri ya kutoa waraka inatoka wapi,
Wakati tayar Ni maagizo kutoka Vatican kwamba kutifuana vinyeo kanisani ruksa
 
Huyu mwamba atakuwa wakala wa shetani ndani ya kanisa na kibaya zaidi inaonesha yeye ndio mwenye kauli ya mwisho, ukipingana nae unaenda na maji.

Kanisa limeshakufa, kule ulawiti wa wtatoto watumikiaji, hapa ndoa za jinsia moja kubarikiwa/fungwa kanisani, pale usioe mke zaidi ya mmoja n.k
RC ilianza kufa ulaya miaka siku nyingi,huku Africa kila kitu sisi ndio wa mwisho.

MOSTLY TRUE: “CATHOLIC CHURCH LOSES MEMBERS – EUROPE-WIDE”​

You are here:
MAY5
chart02-mostlytrue.png

Meanwhile, the Catholic Church is struggling not only with scandals involving its own personnel. According to Friedel Taube, a journalist at Deutsche Welle, it is also facing a Europe-wide loss of members – especially in the Catholic strongholds. By researching hard and soft factors, this claim can be evaluated as “mostly true”.
 
KUANZIA LEO NATANGAZA RASMI NIMEAMA DHEHEBU LA ROMAN.

Najiuliza wale watoto wetu wanao enda kanisani kujifunza Imani nao watafundishwa haya mafunzo mapya.
Je ambao watakuwa halali kupata hii haki na wao watepewa haya mafundisho ya kuishi(Homosexual)
Na je wale makasisi watakuwa na uwanja wa kusolve hii Migogoro ya ndoa hizi.

KUANZIA LEO MIMI SIO MKATOLIKI
 
Dah hii kijamiii inaleta mitazamo tofauti hasa hasi na inaweza hata kuligawa kanisa katoliki wengi wakakimbilia kwneye makanisa mengine itapelekea matokeo hasi
Kanisa Katoliki haliwezi kuyumba sababu limekuwepo kwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita.Walijaribu kina Martin Luther kulitikisa Kanisa lakini walishindwa,hao watakaokimbilia hayo makanisa mengine waende tu na bado Kanisa litabaki Imara
 
Lini Kanisa Katoliki limeunga mkono dhambi, ikiwemo ushoga?

Hebu mtuwekee kabisa hapa chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa Katoliki (Biblia Takatifu, Mapokeo Matakatifu, Katekisimu ya Kanisa Katoliki, Barua rasmi za Kichungaji, n.k.) kinachoonesha hivyo.

Ninatanguliza shukrani za dhati. 🙏
 
Mmm...ushoga ndani ya RC!!! No no no...Nahamia Sabato...haraka sana.
 
Back
Top Bottom