Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
kuna kitu hakipo sawa!
inawezekana katika tafsiri au huwenda msemaji hakueleweka au lililorahisi kabisa nafsi yake imemwongoza hivyo.
lakini vyovyote vile bado Kanisa kanisa litabaki Katoliki la mitume na kamwe nguvu za kuzimu hazitalishinda.
yanayopita ni mapito na nimagumu lakini naamini kwa muundo wa kanisa mahalia viko vitu haviwezi kufanyika Tanzania bado Kanisa litaheshimu mila, desturi zetu kama watanzania.
kila kanisa mahalia lina mamlaka kamili katika utendaji wake hivyo tusitegemee jambo ovu na lisikemewe ndani ya kanisa la Tanzania.
Swala la kuukubali ushoga kwa namna moja au nyingine halikuanza ndani ya Kanisa Katoliki pekee pia hiki kitu kilisikika mwanza Anglican church lakini mpaka leo kanisa la Anglican la Tanzania bado limesimama kwa uadilivu katika imani kwa kadri ya taratibu zetu kama watanzania.
nakubali kuwa inawezekana Pope kazungukwa na genge la washauri waliowaovu lakini na wao watapita lakini kanisa litasimama.
mathayo18:16 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda