SAsa askofu anatii maagizo ya dini au maagizo ya siasa.
 
Kosa la Papa ni lipi? Kukataza Watu wasihukumu?
Kwani si kweli homosexuality ni watoto wa Mungu pia? Unajua tofauti ya uhalifu na dhambi?
Same sex kupendana ni uhalifu?
Mbona walevi, wazinzi na the like hawauliwi kwa dhambi zao why homosexuals?

Tafakari umefanya madhambi mangapi hadi sasa na nani amekuhukumu.
 
Siyo kila uhalifu ni dhambi, siyo kila dhambi ni uhalifu. Lakini kuna makosa, ni dhambi na uhalifu pia.
Uzinzi ni dhambi ila siyo uhalifu. Kubaka ni dhambi na pia ni uhalifu. Ujangili ni uhalifu, ni kosa lakini siyo dhambi.
Hapa kuna tafsiri ya kidini na kisiasa ukivichanganya pamoja uleta kutokueleweka.
Ni kweli uzinzi,si dhambi kisiasa lakini kidini ni dhambi.
Yeye ilitakiwa asimame auelezee ushoga kwa mtazamo wa dini sio kwa mtazamo wa dini na siasa.
 
Usipomtenga mdhambi ataachaje dhambi sasa.
Lazima atengwe Ili ajutie dhambi zake aone aibu afanye toba arudi kundini.
Thus mchawi ufukuzwa kijijini akiacha uchawi uruhusiwa kurejea.
Wewe ni nani umtenge wakati na wewe una dhambi zako usizojuwa mwisho wake?

Maana unapotaka kunitenga unatakiwa uwe assuranced 100 percent kwamba hutatenda dhambi tena na binadamu kaisili mwenye uhakika huo ni wale waliopo mortuary tu!
 
Unaweza ukawa na point bado sijakuelewa ulivyoiwasilisha,uliza vizuri nikuelewe
Kidini uzinzi ni dhambi na ni uhalifu pia ukija kisiasa uzinzi sio uhalifu wala sio dhambi,.
Kidini ushoga ni dhambi na uhalifu, kisiasa inategemea na Jamii husika si dhambi wala uhalifu.
 

Athari ya Ushoga kwa jamii yako ni nini?

Nakuuliza na wewe hili swali,
Ikiwa 50 % ya Wanawake na 50% ya Wanaume wakawa ma Tasa baada ya miaka 50 Dunia itakuaje?
 
Toa mfano wa hayo mafundisho
 
Wewe ni nani umtenge wakati na wewe una dhambi zako usizojuwa mwisho wake?

Maana unapotaka kunitenga unatakiwa uwe assuranced 100 percent kwamba hutatenda dhambi tena na binadamu kaisili mwenye uhakika huo ni wale waliopo mortuary tu!
Hata maandiko yanasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako.
Hakuna ushirika Kati ya matendo ya nuru na ya giza.
Dhambi Inayooenekana Ina nguvu ya kuharibu
 
Sema tu kwamba unaungana naye kuupigia ushoga promo, ili tujue moja
 
Koku ushawahi kukaa pemba ambapo majority ni waislamu!!!!Kakae kwanza afu uandike hivyo!!!!Au maisha gani ya kawaida unayosema wewe???
Yaani una chuki na Uislam mpk baasi kaah...mbona hakuna mtu aliyekukashifu kaka miongoni mwa waislam
Aliyeongea ni papa,Sasa waislam wameingiaje hapo duuhhh...!!!
Yaani punguza chuki mbona maada inaenda kistaarabu Kuna kiongozi wa kiislamu kaongelea kuhusu ushoga Leo
Acha hizo brother

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dhambi ya uzinzi haifanani na ushoga ata kidogo ndyo maana aliwaangamizaa watu wa sodoma na gomoraa
Kwenye amri 10 za Mungu kuna katazo la uzinzi wapi kwenye hizo amri kuna katazo la ushoga?
Jibu ni kua Uzinzi na Ushoga umeingia kwenye category moja, kama wewe ni mzinzi huna tofauti na shoga sababu nyote mnafanya zinaa na zinaa ni uchafu.
 
Tuanze na hii. Hapa Bongo mlishawahi kusikia mtu amepelekwa mahakamani kwa kosa la kuwa shoga?
Ushoga ni sawa na ukoma au Zombi. Ni mapepo ya aina yake ambayo kazi yake kuu ni kuvuruga system ya God. Papa alitakiwa kulijua hilo na wewe ulijue. Ukiwakaribisha watu wa namna hii nyumbani kwako wakaishi hapo, lazima mtoto wako atapata ukoma huu kama sio wewe. Kuwakaribisha kanisani ni kuingiza huu ukoma sehemu takatifu ya kumuabudu Mungu.
Hawa mazombi walitakiwa watengwe sehemu wasaidiwe kutolewa mapepo ya kizombi mpaka warudi kwenye ubinadamu kamili ndio waruhusiwe kanisani.
Tatizo wakatoliki labda wakalismatiki, hawajui kutoa pepo. Hata papa hawezi kukemea pepo likatoka, ndio mana anapiga chenga za kulainisha.

Ni hatari hii roho chafu ya uchafuzi imesha mvuruga papa wenu, you are next! Wasubirini wanakuja huko makanisani, yaani ni mazombi likikukuta lazima likuambukize, si unaona yanavyotembea kizombi.
 
Vuta picha kama kiongozi yoyote wa kiislam kutoka sehemu yoyote Duniani kama angetoa Tamko hili waislam wangechukua hatua gani mpaka muda huu,
Kuna tofauti kubwa kati ya dini za watu na dini ya Mungu
 
Kwa namna gani? Fafanua vizuri.
Lengo kuu la ushoga ni kuondoa mankind,ni ajenda za kufuta uzao wa binadamu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukojolewa then akawa timamu anaondolewa utu wake.
Thus shoga hana thamani kwenye Jamii ni SAwa na pigs, hawezi simama kwenye Jamii anaonekana ni takataka.
Wengi ni kama Wana shida ya mental uishi hatia.
Shoga azai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…