Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Uzinzi ni dhambi kubwa sawa na ushoga nashangaa watu wanafanya Uzinzi then wanaona sio dhambi hizi nchi za Dunia ya tatu zina wajinga wengi ktk Mambo ya dini.
Watu wanazini tangu kuumbwa kwa Dunia ,,makahaba wapo kabla ya Yesu ,,sawa NI dhambi Ila ,,Mungu hakuuvumilia UFIRAJI NDO MAANA ALICHOMA SODOMA NA GOMORA
 
Za Mungu, na hajasema tuvunje sheria za Mungu. Bali ameeleza tu kilichopo, kwamba kwa nchi ambazo hazijaharamisha ushoga, si uhalifu.
Nadahani alitakiwa kubaki na msimamo huo ila kuseam kwamba ushoga sio kosa ila ni dhambi imekaa mora secular kuliko kidini huku yeye akiwa ni kiongozi wa dini.....
Mpaka kuruhusu wabatizwe alifika mbali ubatizo una maana kubwa kwa wakristo na ndio utambulisho sasa yeye anaparuhusu ni sawa na kuruhusu vitu vya kimungu kchangamana na visivyo vya kimungu bora hata angeruhusu wa jumuike kwenye ibada tu...
 
Unajua kwanini Yesu alimuosha miguu na kumpaka mafuta kahaba malaya?
 
Unajua kwanini Yesu alimuosha miguu na kumpaka mafuta kahaba malaya?
Watu wa Mungu ni kama boti na maji.
Siku zote boti ikiwa juu katikati ya maji ni salama kabisa lakini pale ambapo maji yanaanza kuingia kwenye boti hilo tayari linakuwa tatizo,
Hatujazuiwa kiimani kuwa katikati ya wenye dhambi ila pale ambapo kanuni za maisha ya wenye dhambi ziletwe kwenye kwenye Imani hilo ndo shida,
Je unadhani baada ya malaya yule kwenda kmpaka Yesu mafuta alitoka na kuendelea na umalaya wake?
Sasa je inakuwaje mtu ambae yeye amejisema kuwa yeye ni transgender alafu akubaliwe na kanisa katika hali hiyo hiyo?
 
Watu wanazini tangu kuumbwa kwa Dunia ,,makahaba wapo kabla ya Yesu ,,sawa NI dhambi Ila ,,Mungu hakuuvumilia UFIRAJI NDO MAANA ALICHOMA SODOMA NA GOMORA
Na mbona ushoga umerudi tena, akati ulichomwa wote na masalia yake.
 
Na mbona ushoga umerudi tena, akati ulichomwa wote na masalia yake.
Kila zama na mitume wake.
Zama za mtume Lutu ndio walikufuru na kufirana mpaka kufikia hatua ya kutaka kumtamani malaika 😕😕. Hizi zama za sasa ambapo mtume Mohammad SAW ndio zama zake alituombea kwa Mungu tusiangamizwe kama zama zingine. Ndio maana nafasi ipo ya kutubu na kurudi kwenye mstari.
Ukiona majanga yakitokea kama mafuriko, tetemeko chukulia kama maonyo.
 
Back
Top Bottom