Mpaka leo unaliganyia kazi…. Mbona maelezo hayajitosheleza hujasema ni webbased au excel
 
Pata Ofa ya website kwa miaka miwili kwa gharama ya shiling 199,000 tu.Wahi mpaema
 
I like the deal, ila ningependa mnifahamishe hivi vipengele kadhaa hapa.
1/-Nikihitaji huduma ya tovuti inayohusisha malipo kwenye tovuti, mnanihakikishia vipi usalama wa malipo yanayofanyika dhidi ya wadukuzi pia hata nyie mnaofanya maintaanance and staffs?

2/Mnanihakikishia vipi privacy zangu na web yangu zinabaki baina yangu mimi na customers wangu??

3/Gharama mliyoiainisha inacover kwa kila aina ya tovuti!? Vipi kama ntahitaji tovuti yangu iwe na vitu vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…