I like the deal, ila ningependa mnifahamishe hivi vipengele kadhaa hapa.
1/-Nikihitaji huduma ya tovuti inayohusisha malipo kwenye tovuti, mnanihakikishia vipi usalama wa malipo yanayofanyika dhidi ya wadukuzi pia hata nyie mnaofanya maintaanance and staffs?
2/Mnanihakikishia vipi privacy zangu na web yangu zinabaki baina yangu mimi na customers wangu??
3/Gharama mliyoiainisha inacover kwa kila aina ya tovuti!? Vipi kama ntahitaji tovuti yangu iwe na vitu vingi