Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

Aisee, kuna watu wanateseka sana. Propaganda juu!

Hivi Ben Saanane amekufa? Haijalishi

Yote haya yana lengo ya kufunika na kufifisha hoja ya Luhaga Mpina.
==========
Nje ya mada. Naona JF jana waliamua kuupiga chemba uzi wangu- baada ya kupata za ndani za Teua Tengua/oops, Kamati ya maadili..Arghh
 
Wewe nawe ushakuwa chizi! Hizi ngonjera za mauaji mnazo ongea kila siku miaka nenda rudi hazina ushahidi tu mpaka leo? Huku mnajidai mna mawakili wazuri basi waambie waende wakamshitaki!
 
Makonda hafai kwa uongozi kabisa, mlopokaji na hana heshima kwa wakubwa zake hata kidogo,

Nashauri ccm imfukuze uanachama na imshauri rais atengue uteuzi wake.
 
Mimi sijaelewa hapa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huyu shida yake anajisahau sana
 
Kuna sehemu nilifanya kazi jamaa alikuwa na lugha za dhihaka mpaka sio poa
 
Huyu mama naye sijui ni takataka ya wapi, hili jitu halifai hata kuongoza mtaa analing'ang'ania la nini? Halina maadili ya utumishi hata kidogo! Na linaonesha limetoka familia hohehahe sana!
Samia hapa kakosea sana kumteua bashite, bashite dishi limeyumba hafai kupewa uongozi, bashite awamu inayokuja baada ya samia ataenda kufia jela nna hakika
 
Unaushaidi wowote kwamba alihusika kwenye kupotea kwa hao watu..au na wewe unabebwa na nguvu ya mitandao..kuchufua na kudidimiza viongozi wetu
 
Kweli ni ndoto ya kimweri.
 
Naona wanahabari nguri wote wa CHADEMA macho, masikio na mioyo yenu ipo kwa Comrade Makonda!!

Mipango, mikakati na harakati zote ndani ya Chama kikuu cha upinzani zimesimama kupisha kitakachojiri dhidi ya Makonda!!

Ama kweli Makonda ni Siasa ya nchi
 
CHADEMA wote mmehamia huku. Mmemsahau hata mwenye Chama chenu ndugu Mbowe
 
Nimeamka asubuhi nikasema nitafute habari za SGR kutoka Dar hadi Dodoma na nijue safari ilianza saa ngapi na imechukua muda gani kufika Dodoma lakini nimekutana na habari za Makonda na Simba na Yanga tu huku JF. Kweli kuyaona na kuyafikia maendeleo kwa hii shit hole country itachukua karne nyingine moja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…