huyo aliyedhalilishwa si ukute kafanya kazi kama professional miaka mingi, hata kabla makonda hatujamjua, kafanya mazuri mengi, ila leo hata kama angekuwa amekosea anakuja kuonekana hafai, tena na mtu asiyefaa. kama amekosea, kwanini wasimshughulikie kiofisi ili apate nafasi ya kujitetea? what if alipokea maelekezo ya siri kutofanya hicho asichofanya, manake ccm wana tabia hizo, miradi mingi tu haiendelei kumbe pesa imepelekwa kizmkazi, sijui msafara gani n.k na mhusika anaachiwa msala hivyo na kuonekana alikula hela kumbe wao. mpeni nafasi ya kusikilizwa isiyo ya kuaibishana hivyo. mama amtoe huyu mtu ni chukizo kwa watanzania.