Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

Ww ulianza kuloga kipind klgani? Ulipopatw ukuu wa wilaya uliloga? Na ukuu wa mkoa wa Dar pia uliloga? Ulipotolewa ukuu wa mkoa ulikosea kuloga? Ulipoteuliwa kua katibu mwenez wa ccm uliloga?

Huyu tangu ampige yule mzee on stage akili yake haiko sawa
 
Watu mnamsambulia kwa alichokiongea Makonda, mtadhani kwa waganga Huwa hamuendi wanafiki ninyi

Angemfuata Rais private kumwambia. Amekuja kuongea on stage ili iweje kama sio uchonganishi?

Kwamba huyu hana namba ya Rais?

Na kwanini hajawataja hao watu wanaomroga Rais kama kweli ana nia njema?
 
That’s a no brainer, kulogwa lazima

Solution ni moja kupunguza ndumba zinazorushwa kwake ajipunguzie nafasi za uteuzi.

Vinginevyo waganga lazima wahusike jina langu liende katika kichwa cha Samia kwenye teuzi.

Hakuna namna
 
Nchi ina degenerate kuwa na viongozi 3rd rate, un intelligent na wanaokosa muelekeo unaotumia akili.
 
Angeanza kutaja mwenyewe alimlogea wapi
 
Nenda katafute gazeti la Rai la Mei 2003 makala ya Johnson Mbwambo,Kwamba nchi inajiensdesha yenyewe kama vile marubani wakitaka ndege iendelee kuruka huku wao wanaendelea na shughuli nyingine mfano kulala

Sidhani kama aliandika 2003. Ila ni kweli aliandika. Kipindi cha 2003, Mkapa alikuwa Rais. Yeye na walio wake wakipambana kumalizia muda na JK na timu yake wakipambana kupokea kijiti.
Mkapa alikuwa sio lelemama.
Mzee Mwambo sijui yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…