Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha......he was rightNilidhani Trump ni attention seeker mpaka nilivyokutana na huyu baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha......he was rightNilidhani Trump ni attention seeker mpaka nilivyokutana na huyu baba
Nenda katafute gazeti la Rai la Mei 2003 makala ya Johnson Mbwambo,Kwamba nchi inajiensdesha yenyewe kama vile marubani wakitaka ndege iendelee kuruka huku wao wanaendelea na shughuli nyingine mfano kulalaNdio nini tena? Hebu fafanua
Zamani sana watu walikuwa wakisema hivyo. Sijui kama ni kweli au laMakonda ni mchawi.
Ww ulianza kuloga kipind klgani? Ulipopatw ukuu wa wilaya uliloga? Na ukuu wa mkoa wa Dar pia uliloga? Ulipotolewa ukuu wa mkoa ulikosea kuloga? Ulipoteuliwa kua katibu mwenez wa ccm uliloga?
Watu mnamsambulia kwa alichokiongea Makonda, mtadhani kwa waganga Huwa hamuendi wanafiki ninyi
KaphoneKaphone ni nani mkuu?
Nchi ina degenerate kuwa na viongozi 3rd rate, un intelligent na wanaokosa muelekeo unaotumia akili.Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya Tanzania kama kuna mtu anarogwa hii nchi, amerogwa wa kwanza ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwasababu watumishi wa serikali tuliopo wote tunatafuta upendeleo wake.
"Yaani hapa tulipo katika mkoa wa Arusha kuna mtu ananyemelea Ukuu wa Mkoa, kama ana mganga anamfuata"
===========================================
Kwanini Makonda ana roho ya uchonganishi namna hii? Hivi huku si kumchonganisha Rais na watumishi wake?
Kuna kipindi alisema kitu in the lines of, kuna watu ambao wanamhujumu Rais na akasema atawataja ila baadae akaingia mitini.
Leo tena amerudia maneno yake haya.
View attachment 3173017
"
Hata wewe piaHatimaye umefikiwa Bwashee 😄🔥
Angeanza kutaja mwenyewe alimlogea wapiWakuu,

Nenda katafute gazeti la Rai la Mei 2003 makala ya Johnson Mbwambo,Kwamba nchi inajiensdesha yenyewe kama vile marubani wakitaka ndege iendelee kuruka huku wao wanaendelea na shughuli nyingine mfano kulala