Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

Angemfuata Rais private kumwambia. Amekuja kuongea on stage ili iweje kama sio uchonganishi?

Kwamba huyu hana namba ya Rais?

Na kwanini hajawataja hao watu wanaomroga Rais kama kweli ana nia njema?
Ukiachana na Nafasi aliepo ambayo ni ya kisiasa chochote anachofanya ni Siasa..
Hayo ndio maisha ya mwanasiasa Tanzania ili udumu usikike tafuta kitu cha kuongelewa ...

Ingekuwa ni daktari au watu wengine wanamipaka yao lakini yupo katika uwanja wa kisiasa
 
Hao ndio washauri wa mama yenu.

Mama yenu kwa uwezo wake mdogo kafika kikomo kiutendaji , hata washauri waliotakiwa kumvusha hatua nyingine wao wanamdanganya anafanyiwa ushirikina.

Na nchi inaendelea kurudi nyuma sababu anakumbatia matapeli wa kisiasa.
Your browser is not able to display this video.
 
Namna nzuri ya kumwambia mtu kwamba hafai, anaharibu kazi na imemshinda ni kusema amerogwa.
 
Kwani uongo .......wale nyamafu wa Tanga ndo zao
 
Makonda yupo sahihi miafrika ndio ilivyo

Sema na yeye anamroga Samia

Waafrika ni ngumu Sana kuishi bila Imani za uganga kwenye kazi zao!!
 
Wameacha kumtukana na kuwalipa watukanaji na sasa wameanza kumroga!
Waongeze bidii kwakweli maana siyo kwa DRAMA DRAMA HIZI na KIFO NI KIFO TU.
 
 
Labda mchawi mwenyewe ni yeye. Imesemwa mara nyingi kuna huyu mtu ni mtu anayeamini sana katika ushirikina. Inasemwa kuwa aliwahi kuwapeleka wanga ikulu wakati wa awamu ya 5.
 
domo lopo lopo....shida ana ulimi mkubwa kuliko mdomo
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, leo ameendesha ibada ya kuombea Mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla katika kilele cha Siku ya Uhuru wa Tanzania bara.

Moja ya gumzo katika hotuba ya Makonda ni kuwa Rais Samia anarogwa na watu wasiolitakia mema Taifa.

Swali langu kwa Makonda ni vigezo gani amevitumia kujua kama Rais Samia anarogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…