Huyo mwanamke inawezekana yeye mwenyewe ndiye ameharibu. Wanawake wanakera wewe acha tu mkuu.
 
Kabisa huu ndiyo mpango mzima. Unang'ang'ania papuchi ya malaya hadi unamuonea wivu huu ni upumbavu kabisa
 
Hivyo vichocheo vinapofanya ubongo utoe maamuzi ya kuua ,ndipo tunasema huyo mtu ana changamoto ya afya ya akili .
 
Aisee. Kama amekula pesa za watu nakuanza kuleta dharau lzm auwawe
 
Dah watu wanateseka sana na mapenzi ndio mana mm nimeamua kutokuchukulia serious mambo ya mapenzi
Si mapenzi tu, karne ya 21 hutakiwi kuwa serious kwa kila jambo ila uwe na kiasi na tahadhari la sivyo tutakugongea Mkeo angali mbichiiii ilihali unaliwa na funza ardhini [emoji847]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Demu umemsomesha, unamuhudumia baba na mama mkwe na ukoo mzima
Halafu akuletee mambo siyo, agongwe na wahuni...! Kifuatacho ITV
Acha uboya dogo....Sasa ukishamuua unakuwa umemkomoa nani? manake yeye atakuwa hayupo wala hajui kinachoendelea, ila wewe utateseka na damu yake milele!!! Huwezi kushindana nao hao viumbe...mimi sijawahi kutumia moyo wangu kupenda mwanamke hata mara moja...ndiyo maana huwa naona nafuu mwanamke akinitenda hivyo ili nipate sababu ya kumuacha fasta kwa haraka!!!!!
 
Shida ya afya ya akili ni kubwa mno , inabidi kabla ya kujihusisha na mtu utafiti wa kina ufanyike.
Maisha yenyewe tu ni utafiti tosha kuyawini, huo muda na fedha za kutafiti tabia ya Mtu ilihali haiko constant "unpredictable" uko wapi[emoji848][emoji851]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Wanaume acheni kuhonga sana mnajifanya wajanja wakiwatema mnaanza kuwaua.

Mtatumalizia wanwake wazuri mpaka lini?
Unapohonga ni mapenzi yako hujalazimishwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…