Kabisa! Hakuna haja ya kuchukia kila mtu atumie billion zake anavyotaka!😂Yaani ye jamaa Kama anataka kuwehuka anavyohangaika na zile hela pale chini
Nyie hebu tuwe siriazi
Gsm pesa ipo😂😂😂😂😂
Kwanza ile hundi inavyosomwa
Eti bilioni Moja na Milioni 4 tu
Hiyo billioni hata niungane na kaka zangu na Dada zangu wote tujichange hatufiki hata nusu.
Watu wana hela jamani
uzi upo humu wataalam wataufukunyua,jamaa ilifika siku yake ya kutoa kafara ni kama alikuwa ajajiandaa/ajaiandaa so akaanza kubet kwa watu waliomzunguka lakini ikawa aitoshi mpaka alipoamua kujilamba shaba yeye mwenyewe.Aliwafanyaje hao two innocent guys?
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️We Haya....
Tutakufuatilia😅
Na wapo kunifuatilia hili bampa to bampa.Wakazane kuwaita washamba, wao ujanja wao umewapa nini mxiew!
Okay.Sahara ni mtaa wanapouza spare za magari,pikipiki, hardwares n.k
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulishawahi kufika ukanda huo? Ila story za mitandaoni bana😅
🤣🤣🤣🤣🤣Sidhani kama ndio huyu, umelala kweli leo😂
😁😁😁Nilijua tuu, wewe tena hupitwi na fursa
We cheka tu sisi ndio tuko njiani hapa naongoza msafara😂🤣🤣🤣🤣🤣
Namba yangu ni ile ile kipenzi ya nini nife sijashika Billion na ushee🐒
🐒🐒🐒Vp unacheza line zote.....
🤣🤣🤣🤣Bila kuchelewa,Sasa inabidi muweke kambi kahama.We cheka tu sisi ndio tuko njiani hapa naongoza msafara😂View attachment 3628856
Limeisha hilo! Anything else?Namba yangu ni ile ile kipenzi ya nini nife sijashika Billion na ushee🐒
Kahama ni njia nyingine kabisa tumalizane huku kwanza😂🤣🤣🤣🤣Bila kuchelewa,Sasa inabidi muweke kambi kahama.
Hao matajeer wanawazoom tu🤣🤣🤣🤣Kahama ni njia nyingine kabisa tumalizane huku kwanza😂
Duh kumbe haya mambo yapo kweli.uzi upo humu wataalam wataufukunyua,jamaa ilifika siku yake ya kutoa kafara ni kama alikuwa ajajiandaa/ajaiandaa so akaanza kubet kwa watu waliomzunguka lakini ikawa aitoshi mpaka alipoamua kujilamba shaba yeye mwenyewe.
Na yeye before alikuwa na hilo hilo life la kiturist kuzunguka dunia nzima kuuza madini sijui.
Hii JF ukiishi nayo vizuri ni mwalimu mzuri sana wa ulimwengu huu.
Labda tuseme wamekosa elimu ya uwekezajiFEdha ya dhahabu haidumu wengi wao hawatoboi miaka 2 inaisha anaanza upya.
Basi njoo wewe🫵🤣🤣Kaka angu hatumii kisamvu