Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Eti pesa zao hazihitaji akili nyingi....mbonA wazazi wako wenye akili fupi hawajapata pesa?
 
Ukiambiwa mwafrika ni km nyani muelewe, mtu km Bill Gates kwa siku anaingiza bajeti km ya miaka 10 ya Tanzania ila hutamsikia akifanya upuuzi km huo, sasa madafu tu hayo ya kuokoteza mnafanya show off? Hata hivyo wasukuma ni washamba sana na malimbukeni, sikujua km ni majinga hivi
 
Sasa billgates anakaa katoro? Pesa zake ziko kwenye assets jua kutofautisha! Mtatukana mno wasukuma pesa azifuati wajanja tu! Vumilieni tu lol 😂
 
 
Yule tajiri wa India, ambani unamfahamu? alifanya harusi karibia mwezi mzima matusi kama yote kawashusha mastar wa marekani justin Bieber, Rihanna na wengine mastar wa pale India wakina Salman Khan, shahrukh Khan, wote ndani unajua aliwalipa shingapi, je na huyo ni mshamba? Kisa familia yenu masikini unalazimisha kila mtu Aishi kimaskini?
 
Wewe kijana hardware isikie tu! Pesa ipo pale halafu biashara yake ni kubwa mno! Kuna bolts na bidhaa anauza mwanza nzima hakuna mwenye nazo! Sio kila pesa nyingi mpaka madini bablai!
Hapana sikumanisha hivo, nilimanisha kama ana biashara zingine, nilitaka kujua tu, sio lazima DHAHABU nikakazia sijawahi mshikia kwenye hio biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…