Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

Personal attacks ni siasa za kishamba sana. Halafu kijitu kizima kinajifanya kichungaji huku kinaendesha siasa Za maji taka. Msigwa keshakuwa mtumwa wa fikra
Ameshaishiwa hoja sasa anamuona kila mwanachadema ni adui yake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumuota na kumtajataja X 24/7 so da
Personal attacks ni siasa za kishamba sana. Halafu kijitu kizima kinajifanya kichungaji huku kinaendesha siasa Za maji taka. Msigwa keshakuwa mtumwa wa fikra
Ana mahaba bado na CHADEMA
 
Msigwa ameamua kuwa punguani.

Wenye akili timamu huhangaika kuyatafuta maarifa, Msigwa anahangaika kuutafuta upunguani. Amemaliza kejeli kwa Mbowe, baada ya kupuuzwa ameenda kwa Lema. Akimaliza kwa Lema ataenda kwa Lisu, kwa Mnyika, na kwa kila anayedhani ana akili na uwezo kumzidi yeye.

Msigwa apuuzwe kwa uhayawani wake. Mwenye akili hata akihama chama huwa hapwayuki kama huyu punguani. Mfano mzuri na Hayati Lowasa RIP.
 
Tamaa tu ya dolari za Dulla lakini akili yake iko Chadema ni kama Haji Manara tu
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuendelea kusalia CHADEMA.ndio maana wale wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaondoka kwa kasi sana kuja CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
 
Mama Abduli mwenyewe anaiwaza Chadema kwa vile wewe ni kilaza ndiyo hujajua Chadema ni nani katika nchi hii.
 
Msigwa kawa boya sana aisee na CCM imemfirisi akili zote, sikudhania kama ipo Siku huyu jamaa atakuja kuwa mjinga kiasi hiki. Alafu sasa hivi hata utulivu wa akili umepotea kabisa yaani.
CCM ni Mafia sana 😂😂😂
 
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuendelea kusalia CHADEMA.ndio maana wale wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaondoka kwa kasi sana kuja CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
Kwa hiyo Halima Mdee ana akili timamu?
 
Msigwa ameamua kuwa punguani.

Wenye akili timamu huhangaika kuyatafuta maarifa, Msigwa anahangaika kuutafuta upunguani. Amemaliza kejeli kwa Mbowe, baada ya kupuuzwa ameenda kwa Lema. Akimaliza kwa Lema ataenda kwa Lisu, kwa Mnyika, na kwa kila anayedhani ana akili na uwezo kumzidi yeye.

Msigwa apuuzwe kwa uhayawani wake. Mwenye akili hata akihama chama huwa hapwayuki kama huyu punguani. Mfano mzuri na Hayati Lowasa RIP.
Ni kichaa na mwendawazimu pekee atapuuza hoja za mchungaji peter Msigwa juu ya uozo uliopo ndani ya CHADEMA.jibuni hoja zake na siyo kupiga porojo zenu hapa. Lissu Mwenyewe analalamika kila siku juu ya hilo lichama lenu kuwa limepoteza Dira na muelekeo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.View attachment 3065994

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii nchi hakuna vyama pinzani tunachezewa akili zetu
 
Back
Top Bottom