Macho kurembua atakuwa anasomewa visomo kusafisha nyota kwa Watanzania, hakika awamu hii tumepata kiongozi Furushi kwelikweli…

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mchezewe akili mpaka lini ?
Series kuzima Series.. Ni kushift attention tu pale mtu akikabwa kwelikweli.
 
Bei ya mafuta iachwe ipangwe na soko, serikali iingilie pale inapoona imezidi sana.
Soko huria laweza kushusha bei kwa zaidi ya 20% kwa kuondoa ukiritimba na rushwa inayoweza kujitokeza.
 
Kwa bei hizi mpya za mafuta ni wazi kutatokea ugumu mkali sana wa maisha tujiandae wananchi kuendelea kuchangia kodi kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…