Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024
Dar kwenye mafuriko ni huko uswazi
Hapa ni Mbezi Beach Afrikana Je hapo ni Uswazi?

Nakukumbusha Ukiondoa Oysterbay na Masaki sehemu nyingi walipojenga wenye Uchumi Imara ni Bondeni hasa kinondoni Yaani kuanzia Mikocheni,Kawe,Mbezi,Ununio,Mbweni
Screenshot_20231105-175033~2.jpg
 
Nyie mliambiwa mhame huko hamtaki, subirini mafuriko yaongezeke mara dufu huenda akili ikawakaa sawa
 
Amani kwako.

Jiji la Dar Es Salaam na Zanzibar ni kati ya mikoa iliyotajwa kuwa na mvua kubwa zitakazopelekea mafuriko na hali ya sintofaham.

Mvua ya toka jana jioni hadi leo imepelekea baadhi ya sehemu kadhaa kukubwa na mafuriko katika mini hii iliyotajwa hapo juu Dar Es Salaam na Zanzibar.



Picha hii hapa ni kutoka darajani Zanzibar.
View attachment 2804943


Na hii hapa chini ni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2804945
Zanzibar ndiko kwenye uchumi wa blue????🤣
 
Heri yetu watu tunaoshi huku mikoa mingine salama, hili ni balaa zaidi ya goli la KIBU DEE MTOMBANGILE
Ujenzi uliopo uko mikoani siyo sawa na miji niliyotaja wa kusababisha mafuriko sababu kila mtu anataka kuja Dar na akipata pesa kidogo ananunua popote pale hata eneo la njia ya maji.
 
Back
Top Bottom