Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wanasema maneno yanaumba.Temeke,buguruni,tabata,sinza, keko, mbagala,Posta sijui samaki samaki au kidimbwi kwa Insider!!
Je hakuna mashamba ya viazi na mahindi mkaotesha??😆
Wamepaita Kidimbwi hatimaye pamegeuka dimbwi la maji.
Walime mpunga tu a.k.a Kabwili.