Pale CBE ni kigogo, mkunguni posta ni Vingunguti nadhani...!
Na upanga Kwa sehemu πŸ™Œ
Nyuma kule km unaenda mhimbili ni issue
Labda km sahivi wamerekebisha miundo mbinu..
Sa sijui na upanga ni uswazi?πŸ˜…
 
Unabishana na mamlaka ya hali ya Hewa iliyosema mvua zitakuwa nyingi ? Mvua inanyesha siku mbili mfululizo inapumzika nusu saa kisha inaanza tena unasema mvua ndogo? Tena ukumbuke Dar ipo karibu zaidi na usawa wa bahari Mvua za Kisarawe zote uelekeo Jangwani Mvua kibaha maji yote uelekeo Dar . Mji wa Dar es salaam upo Chini wote hivyo Mvua ikinyesha kutwa moja tu mafuriko . Eti unalaamu CCM sasa unataka Wazuie Mvua au wajaze kifusi Dar yote ? Halafu anayelalamikia Chama huna hata hoja
 
Narudia. Mvua siyo nyingi za kusababisha mafuriko. Ni ujenzi mbovu na ukosefu wa miundombinu. Ila mtu kama wewe unaweza kuona ni ''kudra ya Mungu'' na hakuna la kufanya. Unajua maana ya ''land reclamation''? Nenda Holland uone ndiyo utajua ninachomaanisha.
 
Yanga wameshinda leo. Hiyo ndo habari ya maana. Dah! Hii nchi bhanaπŸ˜„πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
Sasa si mlisema toka juzi kuwa tayari Yanga italala kisa mvua inapiga ya kuua mtu, Imekuwaje tena huko?.
 
Umemuelewesha vizuri sana.
Wengine wanaandika tu ili mradi maneno iyasomwe .
 
Mvua imenyesha mfululizo Leo sku ya 4, na hata sasa wingu ni zito na manyunyu , unaweza laumu serikali , Ila sio ya kulaumu completely, mvua ni tatizo almost duniani kote , miji yote iliyo Kando ya bahari huwa ipo hatarini Kwa sababu bahari ndo chanzo kikuu cha mabadriko ya Hali mbaya ya hewa , Kwa mwez wa kumi pekee mwaka huu ripoti za mafuriko duniani kote zinatisha , na Hali inaweza kuwa mbaya zaid mana miiji mingi kando ya bahari ipo chini bondeni , na mvua Hz zimeripotiwa karbia maeneo mengi ya dunia , hapa Tu DSM watu wengi hawatoki ndani..., Serikali Una pa kulaumiwwa Ila tukubali pia nguvu ya nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…