Ohooh mnatupa pressure ndugu,Dar ni sehemu ya bahariii haikutakiwaa kuwa mji aisee...mafurikoo kila konaaa
Hii hatari sana..Hapa ni Mbezi Beach Afrikana Je hapo ni Uswazi?
Nakukumbusha Ukiondoa Oysterbay na Masaki sehemu nyingi walipojenga wenye Uchumi Imara ni Bondeni hasa kinondoni Yaani kuanzia Mikocheni,Kawe,Mbezi,Ununio,Mbweni View attachment 2804926
Wanacheza hapoKibamba jijini Dar Es Salaam, hapa ni hatari kwa watoto hawa kama tukio likitokea pichani.
View attachment 2804910
Wanakwiba na kuficha kwenye akaunti zao za ndani na nje ya nchi, wakanunue majumba ya mabilioni, wafungue viwanda na makampuni makubwa kwa majina batili na wawaweke waarabu na wahindi kuficha uhalisia na majina yao, wakasomeshe watoto Ulaya na Asia na mashule ya kimataifa yaliyopo nchini, wahonge na wafanyie uzinzi na waishi kama hakuna kufa.Serikali inakusanya City Levy na haijulikani inafanyiwa nn
🤣Mama amewafikia watanzania.
Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
Ubavu wa kufanya Land reclamation bongo hamna! Labda muwakamate majizi yote ya nchi hii muinyongelee mbali na muwapune hela zote walizoiba murejeshe kwenye mfuko wa taifa wa benki kuu ndo mfanye hivyo.Narudia. Mvua siyo nyingi za kusababisha mafuriko. Ni ujenzi mbovu na ukosefu wa miundombinu. Ila mtu kama wewe unaweza kuona ni ''kudra ya Mungu'' na hakuna la kufanya. Unajua maana ya ''land reclamation''? Nenda Holland uone ndiyo utajua ninachomaanisha.
Ebana hivi unaijua siri ya ule mwenge?! 🤔🤔🤔CCM na Mwenge wao
Ununio? Aibu nimeona mimi...Mbweni kuna baadhi ya maeneo, africana na pale goigi palisharekebishwa. Sinza na ununio ni makazi yangu na hakuna mafuriko. Bunju ipi yenye mafuriko?
Inaonyesha huijui Dar..!!Dar kwenye mafuriko ni huko uswazi
yani ni hatarii mkuu huku mjini balaa afadhali kimara mbezi ukoOhooh mnatupa pressure ndugu,
Wengine family zetu ziko huko kila mara kuwapigia simu hata wakituambia wazima hatuamini hadi tuwaone kwa video call na mazingira ya nje😅.
Ila mrudi mhamie vijijini tunawasubiri ,hakuna mafuriko huko.
Ni kuwafanya wananchi mazuzuEbana hivi unaijua siri ya ule mwenge?! 🤔🤔🤔
HAPANA, waendelee kula pesa za mifuko ya dharuraWe nae... wafanyeje sasa?
Wamtume Paul Makonda azibue?! 🤣
Sasa naunga dots napata maana... ndomana kuwa miamba ilikula njama ya kuuiba ule mwenge ila waliwatia mbaroni.Ni kuwafanya wananchi mazuzu
Ule sio wa kuiba, ni kuweka petrol badala ya Mafuta ya Taa. Ile ngoma inalipuka once and mileleSasa naunga dots napata maana... ndomana kuwa miamba ilikula njama ya kuuiba ule mwenge ila waliwatia mbaroni.
Ngoja tukauibe tena
Mamlaka inasema inasema mvua mtakuwa nayo hadi jan 2024.yani ni hatarii mkuu huku mjini balaa afadhali kimara mbezi uko
.Zanzibar ndiko kwenye uchumi wa blue????🤣
Kuna chama kinatapelli wananchi kila anapoingia Rais madarakani.