Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024
Dar ni sehemu ya bahariii haikutakiwaa kuwa mji aisee...mafurikoo kila konaaa
Ohooh mnatupa pressure ndugu,

Wengine family zetu ziko huko kila mara kuwapigia simu hata wakituambia wazima hatuamini hadi tuwaone kwa video call na mazingira ya nje😅.

Ila mrudi mhamie vijijini tunawasubiri ,hakuna mafuriko huko.
 
Serikali inakusanya City Levy na haijulikani inafanyiwa nn
Wanakwiba na kuficha kwenye akaunti zao za ndani na nje ya nchi, wakanunue majumba ya mabilioni, wafungue viwanda na makampuni makubwa kwa majina batili na wawaweke waarabu na wahindi kuficha uhalisia na majina yao, wakasomeshe watoto Ulaya na Asia na mashule ya kimataifa yaliyopo nchini, wahonge na wafanyie uzinzi na waishi kama hakuna kufa.


Uchaguzi ukifika hizohizo hela watudanganyilie mama na wake zetu kwa vitenge na Kanga, vijana wetu wa hovyo wapewe matisheti na kofia na wawape kidogo za chips na juisi ili wawachague tena waendeleze kurudumu la kutafuna hela za uma.

Sijui nani alituroga watu weusi 😔
 
Narudia. Mvua siyo nyingi za kusababisha mafuriko. Ni ujenzi mbovu na ukosefu wa miundombinu. Ila mtu kama wewe unaweza kuona ni ''kudra ya Mungu'' na hakuna la kufanya. Unajua maana ya ''land reclamation''? Nenda Holland uone ndiyo utajua ninachomaanisha.
Ubavu wa kufanya Land reclamation bongo hamna! Labda muwakamate majizi yote ya nchi hii muinyongelee mbali na muwapune hela zote walizoiba murejeshe kwenye mfuko wa taifa wa benki kuu ndo mfanye hivyo.

Na mtalazimika kuhama nchi kwa miaka hata 10 shughuli ikamilike
 
Ohooh mnatupa pressure ndugu,

Wengine family zetu ziko huko kila mara kuwapigia simu hata wakituambia wazima hatuamini hadi tuwaone kwa video call na mazingira ya nje😅.

Ila mrudi mhamie vijijini tunawasubiri ,hakuna mafuriko huko.
yani ni hatarii mkuu huku mjini balaa afadhali kimara mbezi uko
 
Back
Top Bottom