K A B U R U
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 891
- 1,199
Jangwani panapitika vizuri tu. Kama Bajaji zinakatiza basi hali sio ya kutisha.mlioko jangwani mtujuze kunani huko japo mlipata ushindi jana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jangwani panapitika vizuri tu. Kama Bajaji zinakatiza basi hali sio ya kutisha.mlioko jangwani mtujuze kunani huko japo mlipata ushindi jana.
utakuwa mgeni na sinohydro ( ni yule yule wa BRT ya Mbagala ambayo kabla kuanza kazi, kishabomoka )mimi kwakweli sio injinia ila naona kama wanakosea wangeenda kwa kipande kimoja hadi kiishe ndio wahamie kingine.
kuliko kufukua fukua kilasehem toka vingunguti hadi gongo ramboto
nashukuru nikienda mjini, daladala inapita kule nyuma nyuma kwenye reli mwanzo mwisho, chuma kinatokea Buguruni Chama😁😁dah kweli.wachina feki hawa
Taire!
why MkuuSijawahi kuitamani Buguruni. Sijui wenzangu
1. Kuna jamaa hapa ananiambia wenza wa viongozi wakubwa wote wanalipwa mshahara na mafao juu pale wanapostaafu.Walah ningejua nisingewaka hapa
yeah, ile service road inasaidia sana kipindi ichiahaa kwenye mradi wayapi
Maisha ya Dar Shida tupu basi tu Yaaan
Mbezi Africana ni Uswazi?! Umepaona?! Unajua maana ya El-nino ndugu?!Dar kwenye mafuriko ni huko uswazi
Na inategemea aina ya uangukajiHatari ni nin pale wakuu kuanguka kwenye matope?
Huko hata kiwanja cha bure kimbiaView attachment 2805664
Zanzibar iyo
Tena ardhi ya chini inaonekana ni yenye udongo wa kudidimia na kuzamishaKuanguka Na Anaweza Kuzama/Kuvunjika
We nae... wafanyeje sasa?Na CCM wapo tu wanaimba Nani kama Mama!
Hameni huko, hali sio nzuriMobondeni mbona tumeipata ....ila hatuhamiii tumo tu
Kweli kabisaDar ni sehemu ya bahariii haikutakiwaa kuwa mji aisee...mafurikoo kila konaaa
We nae Sinza itoe hapo 🤣🤣🤣Pole Unaijua Mbezi beach Aftikana? Unaijua sinza? Unaijua ununio? unaijua Mbweni? Unaijua Bunju?