Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
You don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.
You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"
And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.
That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
teacher tuache kidogo plzYou don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.
You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"
And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.
That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
Baba keagan wapo wengi sana TanzaniaKwani Baba Keagan yupi alietoa taarifa hiyo?
Mrembo, hizi mada zimeunganishwa. Mchango huu ulikuwa kwenye mada ambayo haikuwa na details.We nae unajishaua
Mzee unaijua lugha ya sheria vizur weweYou don't say "...a connecting and proving evidence"... Evidence is uncountable noun.
You'd say "...a piece of connecting and proving evidence"
And lastly, evidence is to prove some issue, so when you say "...proving evidence" that breaches rules of grammar.
That is most likely direct translation from kiswahili i.e. ushahidi Wa kuthibitisha
Kipimo kingine cha uzezeta wa vijana wa Lumumba.
Hapa hawajui wasimame wapi, hawa wanaomuunga mkono Bashite ndiobhao hao watakuja kusifu Mkuu akimgeuka mtoto wake .
Exaggerations mnazifanya.Thihaka sio nzuri,
ningekua baba Keagan ningemuweka ndani mpk
apate msamaha wa Rais
Le mutuz na cyprian Musiba kama kawaida yao hutumia fursa kama hizi kutafuna pesa za Bashite wamepeleka Bajeti yao wamelipwa kwa kazi ya kuwasaka watu wa kumtetea Bashite mitandaoni, kufa kufaana wazee wa fursaNchi ya matukio.
Makonda anapima upepo naona watu mnamwagika tu, mwisho atasema alikuwa anataniana na uyo mkomedi
Tulimuita au Alijiita?Hata Jk pia tulimwita Baba Ridh
Kwani amri hutolewa wapi
Hujui kuwa hard copy na soft cop zote ni copies