Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana πŸ˜‚

Wao wanasema HP hana madhara.

Chama kiko imara na chenye umoja kuliko wakati wowote wa historia yake, kabla na baada ya vyama vingi.

Sisi tupo mguu kwa mguu na Sisiemu hadi ipigwe TKO.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ndiyo maana walipo ona upepo wa Chadema chini ya Lissu unaamsha watu kutoka usingizini, wakamtengenezea kesi ya mchongo, na chama nacho wakakifungia kufanya shughili zake.

Yaani kama hukubaliki, hukubaliki tu.
 
🀣🀣🀣mmoja ameanza lisaa moja lililopita mwengine ameanza dakika 36 zilizopita...ila aliyechelewa kuanza ndio anafuatiliwa na wengi. Aliyewahi kuanza ni mkubwa na vyombo vyote vya kwake na ulinzi na migari ya Kila aina...inaonekana anafuatiliwa na watu ambao si wajuvi wa mamboπŸ˜€...
 
Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best eneweiView attachment 3435671View attachment 3435672
Sasa Polepole ana tofauti gani na Mange,Kigogo na wazushi wengine?

Huyo ameona akiwa anatumia Jina la Rais Kwa kuzusha atapata viewers wengi na atatengeneza maisha.

Masuala ya uzushi ni chakula Cha wajinga na mambo ya kiserikali ni Kwa Ajili ya watu wa serikalini na wale makini wanalotumia fursa za serikali kutengeneza maisha.

Mfano Mimi binafsi ni followers wa karibu akaunti zote za serikali na Baadhi ya viongozi ila hao nimewataj awali sifuatiliagi chochote Kwa sababu uzushi hauongezi content Zozote kwenye akili yangu.
 
Naona saivi kasoma JF kaona abadilike. Leo katimia hardly 1 hr.

Alikuwa anapuyanga sana.

Kabakisha kimoja tu. Kujikita kwenye maslahi ya Taifa na sio ya CCM.

Akifanya hayo atapata total support ya Wananchi.
 
Hp anapiga kwenye mshono. Wahuni walimuambia ndugai jiuzulu halafu wakatafuta super sub ya kucover their interests
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…