GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya juhudi za hakikisho kuwa uchaguzi hautokuwepo mpaka reforms zifanyike na kuwaaminisha watu kila aina ya ubaya kutozaa matunda yoyote, sasa tunaona imekuja njia mpya ya kujaribu kuondoa credibility ya Mgombea uraisi kwa kusaga kunguni.

Kwa maoni yangu hizo zote ni kupoteza muda tu.. huku ground hali iko tofauti kabisa. Nyomi ile ya jana na watu wenye ushauwishi kujitokeza kuunga mkono Mgombea Uraisi..hivi hata nyie pia hamuogopi?
Gwajima aliahidi kupasua jipu baada ya siku 10..sasa ni zaidi ya wiki 2
Pole pole nae akaja na sijui tarehe 21 ya kukumbuka...pia hakuna kitu.
 
Na wewe unasumbuka nini hapa JF .mwenzako ajambe wewe kinyeo kikusumbue
 
Leo mama watoto namuuliza mapema kama anautaka, kama anautaka nimpe saa 1 1, mpaka saa 3 tumemalizana . Kuanzia saa 3 nitakuwa bize, mpaka mr. Slow slow amalize.. akishindwa saa moja basi avumilie mpaka nimalize kuangalia show ya slow-slow.
 
Huna macho kabisa! Nyomi ya kusomba watu nchi nzima!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…