GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
asikupotezee muda huyo zwazwa
 
Mwaka huu wanaisoma! Wakamfungia Lissu milango ya gereza akaibukia kufungua shule mahakamani wakagwaya na kuzuia.
Heche akakiwasha kwa moto wa gas kabisa naye wakamzimia mic eti hastahili kusema chochote.
Mungu kamuibua Polepole hawajui hata yupo mtaa gani, sasa wanajuta hata kwa nini wamemkorofisha huko Ubalozini wakati anayajua mengi ya CCM kuliko hata Wassira!
 
Sijamsikia Polepole akisema lolote kuhusu haja ya katiba itakayokuwa ya vyama vingi kwa dhati. Katiba isiyoweka vipengele vya kulinda chama kimoja. Katiba isiyompa msajili uwezo wa kukwamisha vyama.

Yeye ni Samia asigombee. Kana kwamba asipogombea ghafla demokrasi yetu itakuwa imeimarika. Vipi mbele ya safari tukipata Samia mwengine.
 

Hahahaha eti anayajua mengi kuliko Tyson swaiba wake na Msaigoni.

Mengi anayoyajua HP ni ya kwenye vibaraza ndio kila anachosema ni kilekile ambacho mitaani linajulikana Mzee, bora yule mshika kalamu anaweza kuwa anayajua mengi yasiyojulikana.

NI sawa nakusema Gwaji boy anayajua mengi.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 

Shida yake ni Samia, mchakato ukirudi tena mezani na akapatikana mgombea anayemtaka yeye hata kwa msaada wa RA kwake haitakuwa shida.

Leo hii angekuwepo JPM amejiongezea muda agombee tena sidhani kama ingekuwa shida Kwa HP na sidhani kama CCM ingekuwa mbaya kwa HP.

Tunahitaji kuwa makini kuliko Umakini wenyewe ili kuwe na consistency.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
kwanza hyo HP asingejalibu kufungua hlo bakuli..Magu alikuwa hataniwi..Mama ni Mpole sana ila natarajia hatokuwa hvo awamu ya pili kwani kisha wasoma wanaomzunguuka.
 
Siku Magufuli anafariki, Saa100 aliibukia Ziara ya Mkoa wa Tanga !

Pole pole tuambie Saa100 alikuwa likizo huko kwao Unguja, aliibukia wapi na kwenda ziara wakati mwenzake anakata moto ???
Kabisaaa, aseme wazi hapa.
 
Noma sana, pole pole amekuwa media kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…