Daima mtu mpumbavu hujifanya much know, kumbe kabeba fuvu na urojo kichwani. Kama kitu hukijui tuliza makalio yako.Mpumbavu mkubwa wewe, kwahiyo inaondoa ukweli wa Kua CCM INAIBA KURA??
Mimi sio Mtaalam wa IT Wala Cyber
Ni kweli hayo madai yapo ila polepole kaiongelea kwa undani na akiwa na details za kutosha ndio maana kwasasa itachukuliwa kiuzitoMbona hii inajulikana kitambo,tukisemaga tz kupiga kura ni kupoteza muda na mtu mwenye kujielewa na akili timamu
Hawezi kwenda kukaa foleni,apigwe jua ili apige kura
mbogamboga wao wana incontro l
INEC,wasimamizi wa uchaguzi,
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yao
Kwenye uchaguzi mtaweza kweli 😄
Ova
mjinga sana sitaki taarifa zangu zitumiwe na ccmKuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Unarudia swali wakati ameshajibu tayariJe nani alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC mwaka 2015!?.
Mifumo iliundwa kwa nia njema,ila kuna kikundi cha wahuni wameingilia mifumo na huitumia kwa kuteka,kuuwa,kubaka,kuiba kura,hao wahuni tayr wameshajulikanaJe nani alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC mwaka 2015!?.
Kama Hana madhara kwa Nini kila akijitokeza kuhutubia lazima mkata switch azime mitambo? Pili kaomba Kama Kuna mtu anabisha watafute wataalamu wa IT wafanye huo uchunguziPolepole ni jibwa linalobweka bila madhara. Akiambiwa athibitishe anayoropoka hataweza.
Ndiyo hivyo tenaNi kweli hayo madai yapo ila polepole kaiongelea kwa undani na akiwa na details za kutosha ndio maana kwasasa itachukuliwa kiuzito
Kila mwenye kitambulisho cha NIDA kashapiga kura na zinasubiri kutangazwa tu,hili ndilo Bomu la Ndugu Polepole akivitaka vyama vyote vya upinzani kuomba tume huru au watu huru wataalam wa kompyuta kwenda kuthibitisha aliyoyasema.
Mtu akiokoka haruhusiwi kutoa ushuhuda wa anayopenda yajulikane?Je nani alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC mwaka 2015!?.
Na hata hao Chadema nao Wana madhambi yao walituaminisha karibia miaka 8 kuwa Lowassa ni fisadi na wakatuambia Wana ushahidi wa ufisadi wake hawakuishia hapo wakatoa mpaka list ya mafisadi wa nchi wakaiita list of shames hao hao wakajakumpokea Lowassa chamani hawakuishia tu kumpokea pekee wakampa mpaka mgombea wa uraisi je vipi mdau wanapaswa kuaminiwa? Kwa kigezo ulichotumia kwa polepoleNapata taabu sana kumpongeza Polepole, kwa sababu alikuwa ni sehemu muhimu ya tatizo. Ninachoweza kufanya ni kumshukuru tu kwa kulitoa mbele hili na kulifanya liwe wazi.
Polepole hana umma wowote wa wananchi. Haongozi chochote; kwa hiyo hana uwezo wa kuwafanya wananchi wachukue uamzi wowote juu ya anayo yazungumzia.
Pakitokea ndani ya CCM viongozi kadhaa wakaungana naye, hapo tunaweza kuona wananchi wakifuata maelekezo. Vinginevyo, sasa hivi ni CHADEMA pekee ndio wenye uwezo wa kuongea na kusikilizwa na wananchi.
Ndio usibeze alichofanya PolepoleNdiyo hivyo tena
Ova
Sibezi,ila nini kifuate....au kifanyikeNdio usibeze alichofanya Polepole
Uongo wake ni upi?Leo ndio nimeamini polepole muongo. Daaah
Pole pole ni mkweli. Haiwezekani Ma CCM yahamishe wamasai, yawapige wamasi, yauze bandari hayataki kutoa ajira hata yakitoa ajira ni za upendeleo na masharti kibao ya ajabu ajabu halafu wanakuwa na kiburi Cha ushindi wa uchaguzi na kuunda serikali. Kumbe wanategemea mifumo na siyo wananchi kupiga kura.Uongo wake ni upi?
Kumbuka ukiokoka unasema ukweli na kuomba radhi ndicho alichofanya polepoleUsiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema kataa maelezo ya mpishi wakati amesema samahani baba wali una chumvi nyingi , wewe unakula unakutana na chumvi nyingi harafu unabisha unasema hakuna chumvi nyingi
Sijui kama umwelewa ,Polepole yeye kaelezeea namna kura zinavyoibiwa hajataja, waliosema sio chadema