Natambua hata wewe utakufa kilanfsi itapitia hayo kwahiyo wewe muhuni uliona ajabu kufa polepole bana anaongea ujinga wakuoza kweliLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!View attachment 3436166
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Hii nchi naamini kabisa hatuna watu wajuzi wa hiiivyo kwenye mambo hayo, so hili linawezekana kabisa. Kama wale waliotumwa kwa Lissu na bado hawakumaliza kazi.Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Na akiweza utasemaje?Turudi hapa November.
Akishindwa kumzuia Samia kuwa rais kama anavyotaka utasemaje?
What is Plan B?
Inafikirisha ...Muuaji wa kibaka ndio anaweza sahau, mtu yeyote anayepanga mipango mirefu ya kuuwa watu ngazi ya juu kwa nyakati tofauti na kwa njia tofauti akiwemo kumuua Rais usidhani ni muuza gongo au ana akili za kupikia andazi.
Hakuna kujisahau kwa kutuma barua iliyofunguliwa kwa dereva tax. Na hakuna mantiki kuandika list ya majina na kutumiana. Hata wauaji wa mwenyekiti wa kitongoji si wajinga kiasi hiki.
Kifo ktk siasa siyo Siri nzitoPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Anaweza. Polepole anaongea jambo la kusema neno moja kwa kutumia maneno elfu moja.Kuongea yote kwa siku moja hawezi, ina maana aongee siku tatu bila kula wala kunywa?
Kwa sasa Polepole hata akojitungia story yake yoyote na kuwahadithia Wabongo wataiamini tu, wengi bila kuhoji.Inafikirisha ...
Kwanini wamtume dereva teksi kupeleka hizo barua wakati wangeweza kupanga gizani bila kuandika chochote.
Ataweza kwa jeshi gani alilo nalo?Na akiweza utasemaje?
Daah sasa hii ni ujasusi kwenye harakati za umalaya sindio 😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nashangaa watu wanamuona jamaa kama anatunga .. hawajui hizo ni codes na Zaid nashangaa watu wanawadharau Hawa matex driver na boda,,Mimi kati ya watu naowaheshim nikienda mahali papya ni boda boda na teksi drivers ...na wazee wale wanaokaaga kucheza bao na kunywa kahawa muda wote ...imeshaniokoa nisipate ukimwi...nyie acheni bwana ..ujasusi una mambo mengi anatumiwa mtu yoyote ambaye wewe humdhanii kabisa ...
Hata Osama alitumia barua kwenda kuwasiliana na washirika wake ukitumia usasa km internet na simu ni rahisi kujulikana ...Ikiwa wazi ndio hoja hapo, kama ingeachwa wazi akaipeleka mmoja wao(anayehusika) isingekuwa tatizo.
Wewe kuchambia vizee vya kizungu huko ulaya unajionaga mjanja nyambafu mkubwa !Kwa sasa Polepole hata akojitungia story yake yoyote na kuwahadithia Wabongo wataiamini tu, wengi bila kuhoji.
Acha ujinga tax driver ni code ametumiaPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
This logical fallacy is called ad hominem.Wewe kuchambia vizee vya kizungu huko ulaya unajionaga mjanja nyambafu mkubwa !
Asante mkuu NDO maana nikasema Mimi mkuu✌️🙏🙏🙏🙏 Asante kwa kuni ELEWAKwani wewe una impact gani? Ukipuuza wewe wako maelfu wanaomfuata
Code ya wapi mkuu? MBONA kaongea waziAcha ujinga tax driver ni code ametumia
Polepole endelea kufunguka hivyo hivyoNimetafakari sana, wacha tuone!
Vito Corleone is looking for Polepole tongue right now.And one day he'll make utterances something that will completely tear down JK Old Legacy like an old garment. Right now he's giving the dogs bad name.
Anasubiria wamguse amwage Michele na chengachenga zote kila mtu azionePolepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma