100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kwa hio hoja yako Polepole anazungumza uongo?Bado hujaelewa hoja yangu na pengine huna uwezo wa kuelewa.
Sijasema kuna sharti lolote la Polepole kuongea mara moja.
Sijasema akizungumza leo na kesho hatajibiwa na wanasiasa wengine.
Sijasema siasa si mchezo wa akili na mikakati.
In fact nimesema sizungumzii siasa nazungumzia governance, integrity.
This is a political power struggle. Polepole is doling out information in a piecemeal fashion for political reasons.
Unapewa habari ndo ndo ndo kwa sababu za kisiasa na mtu ambaye angeweza kukupa habari zote mara moja kama angekuwa na nia ya kuweka ukweli wazi.
Hatuwezi kuelewana. Siasa ndiyo tatizo hapa, mimi najaribu kutoka kwenye siasa kwenda kwenye kupata ukweli. Wewe unanirudisha kwenye siasa.
Tupo kwenye planes mbili tofauti kabisa.
Mimi nazungumzia governance na integrity, wewe unazungumzia siasa.
Sasa hiyo haina faida kwa Nchi !Nia yake ni kusema ukweli but anaogopa kuwa offend vigogo. Remember ni former spy so bado yupo under oath.
Ana umma na kupuliza
Job NDUGAI ni mgonjwa wa kisukari na UKIMWI toka 2010. Hata hivyo ame survive kwa yale mabilioni aliyotumia alipolazwa IndiaRIP Job Ndugai aliambiwa Mzee usichukue fomu akagoma sasa hivi yupo kwenye Friji anapigwa na baridi
Sawasawa kumbe ukiwa na Kisukari na Ukimwi unaweza kuishi miaka 15 zaidiJob NDUGAI ni mgonjwa wa kisukari na UKIMWI toka 2010. Hata hivyo ame survive kwa yale mabilioni aliyotumia alipolazwa India
mbona kwa tundu lisu mlijua mmeshamaliza kumbe mzima hadi leo, sativa mlijua ameshaliwa na fisi au mamba ila mzima. Mungu yupo, wenzenu waliokuwa wanauwa sasaivi nao wako wapi? mashetani wakubwa ninyi, vifo mnavyowafanyia wenzenu vitakuja juu yenu na watoto wenu mara mia. nawapa pole kabla. Mungu yupo na anawaona.Muuaji wa kibaka ndio anaweza sahau, mtu yeyote anayepanga mipango mirefu ya kuuwa watu ngazi ya juu kwa nyakati tofauti na kwa njia tofauti akiwemo kumuua Rais usidhani ni muuza gongo au ana akili za kupikia andazi.
Hakuna kujisahau kwa kutuma barua iliyofunguliwa kwa dereva tax. Na hakuna mantiki kuandika list ya majina na kutumiana. Hata wauaji wa mwenyekiti wa kitongoji si wajinga kiasi hiki.
Hebu nieleze kirahisi zaidi.Kwa hio hoja yako Polepole anazungumza uongo?
Liberalists and Revolutionists want to fight the Aristocracy but at the heart of the political transformation is the struggle between the Old Aristocratic Rule and the Emerging Bourgeois Class. Their main objective is to end the Absolutist Regimes, but to replace them, not by the rule of the mass of the people, but by the propertied middle class, which had so far been excluded from power.So this is a power struggle within CCM. Hayo mambo ya uongozi anayodai Polepole yana contradictions nyingi sana.
Kwa nini Polepole anasema Samia aache urais abaki Mwenyekiti wa CCM? Kama Samia hafai urais kwa nini afae uenyekiti wa CCM? Haya, labda Samia kaharibu nomination process, kwa nini Polepole hataki nomination process irudiwe watu wote wa CCM wanaotaka kugombea waruhusiwe kugombea, akiwamo Samia, kama wajumbe hawamtaki Samia wamkatae, kama wanamtaka wampitishe?
Kwa nini anataka kutumia utamaduni na desturi, vitu ambavyo havijaandikwa popote, wakati CCM ina katiba na kanuni zilizoandikwa, nchi ina katiba na sheria zilizoandikwa?
This Marxist rhetoric does not apply in Tanzania.Liberalists and Revolutionists want to fight the Aristocracy but at the heart of the political transformation is the struggle between the Old Aristocratic Rule and the Emerging Bourgeois Class. Their main objective is to end the Absolutist Regimes, but to replace them, not by the rule of the mass of the people, but by the propertied middle class, which had so far been excluded from power.
That's why I have said:Also, in Tanzanian politics is not driven by clear ideology, but by political animus and internal power struggles.
Tanzanian politics revolve around individuals and personalities, not policies and ideologies.
Refer:This Marxist rhetoric does not apply in Tanzania.
For starters, we hardly have established classes.
But in Tanzania the lower classes are either pitter pattering aimlessly or waiting their turn to eat, they are not uprising in a class struggle.Refer:
CLASS STRUGGLES IN TANZANIA(1976) by PROF.ISSA G.SHIVJI
Tumia lugha rahisi hizo fallacies ngumu kuzielewaSitakujibu, nitaorodhesha fallacies ulizoandika tu.
1.Ad hominem fallacy
2. Argument from authority fallacy
3. Logical non sequitur fallacy.
4. Logical non sequitur fallacy.
5. Strawman argument fallacy.
6. False dichotomy fallacy
Hatuo katika level moja. Hujastahili kuweza kujadiliana nami kwa sababu huwezi kujenga hoja kimantiki unarusha tuhuma kihisia.
Inaonekana una dalili za matatizo ya afya ya akili na mimi sitaki kukuzidishia matatizo yako.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Vito Corleone is looking for Polepole tongue right now.
The younger generation in Tanzania just emerging is more educated, and thus can articulate many of the vicissitudes of the present era. The weakness of this stratum is that, although it can articulate the issues at stake, can see the problems and even point out their solutions, it is hopelessly weak in organization, because as peasants in origin they do not lend themselves well to organization.But in Tanzania the lower classes are either pitter pattering aimlessly or waiting their turn to eat, they are not uprising in a class struggle.
Why do you think the idea of class struggle is applicable in Tanzania?
I sat next to the president's daughter in grammar school. I even slapped her when she annoyed me.
The classes are just starting to emerge, why do you think class struggle is applicable in Tanzania?
Mkuu,Tumia lugha rahisi hizo fallacies ngumu kuzielewa
Asante nitazipitia.Mkuu,
Mbona una Google kirahisi tu.
Au Google nayo mgogoro?
Fallacies zimeelezewa vizuri mpaka website ya Stanford ya Falsafa ukitaka kuzielewa zaidi.
Soma hapa
Katika falsafa ya utilitarianism kuna kitu kinaitwa utilitarian calculation..Hebu nieleze kirahisi zaidi.
Polepole ni mwanasiasa aliyejikuta kundi lake halina nguvu na kundi lenye nguvu si lake. Anataka kumuondoa Samia asigombee urais. This is a CCM power struggle far and above anything else.
Kutaka Samia asiwe rais na kutaja mapungufu mengi ya Samia si lazima mtu awe muongo, kwa sababu ni kweli Samia ana mapungufu mengi, kaharibu mambo mengi ikiwa pamoja na alivyoanza kuchukua nomination za CCM, alivyoanza kampeni kabla ya bunge kuvunjwa, alivyopata nomination kwa kikao cha ambush nje ya ajenda ya kikao.All this is fair criticism against Samia. Wengi tunaona haya ma mengine mengi.
Mchungaji Dr. Malisa kafungua kesi mahakamani na mahakama imeitaka CCM kujieleza. Kuna kesi ya dharula imekuwa fast tracked imalizike tarehe 14 August nafikiri ili kuwahi ikamilike kabla ya uchaguzi. Kwa hiyo si jambo ambalo analisema Polepole tu, wengi tunaona haya mapungufu. Mahakama imeona CCM ina cha kujieleza, lingekuwa jambo dogo kesi ya Dr. Malisa ingetupiliwa mbali.
Samia nchi imemshinda watu wanatekwa na kuuawa anasema kifo ni kifo tu. Samia nchi imemshinda, hawezi uongozi wa kweli na haki.
Lakini Polepole hampingi Samia kwa sababu Samia hafanyi uongozi wa kweli na haki.
Magufuli alifanya siasa chafu za kununua wapinzani. Alivunja katiba kwa kukataza mikutano ya kisiasa. Polepole ndiye alikuwa anaongoza mpango mzima wa kununua wapinzani. Anajua mengi sana kuhusu mauaji na utekaji wa siku za Magufuli. Kwa hivyo Polepole hasumbuliwi na uongozi mbaya. Anasumbukiwa na ukweli kwamba katolewa from the center of power katupwa Cuba huko awe mbali na siasa za Tanzania.
Polepole anampinga Samia kwa sababu si team yake ndani ya CCM. Kina Polepole ni Sukuma Gang waliotaka katiba ipindishwe Samia asiwe rais. Hawajaridhika Samia kuwa rais wanataka mtu wao awe rais.
So this is a power struggle within CCM. Hayo mambo ya uongozi anayodai Polepole yana contradictions nyingi sana.
Polepole anasema yeye anasimamia katiba na ukatiba dakika moja, dakika ya pili anasema Samia asigombee urais kwa sababu utamaduni na desturi vinamzuia.
Kwa nini anataka kutumia utamaduni na desturi sehemu ambayo CCM na nchi zina katiba ambazo hazimzuii Samia kugombea urais?
Kwa nini anataka kumvunjia Samia haki yake ya kikatiba?
Kwa nini Polepole anasema Samia aache urais abaki Mwenyekiti wa CCM? Kama Samia hafai urais kwa nini afae uenyekiti wa CCM? Haya, labda Samia kaharibu nomination process, kwa nini Polepole hataki nomination process irudiwe watu wote wa CCM wanaotaka kugombea waruhusiwe kugombea, akiwamo Samia, kama wajumbe hawamtaki Samia wamkatae, kama wanamtaka wampitishe?
Kwa nini anataka kutumia utamaduni na desturi, vitu ambavyo havijaandikwa popote, wakati CCM ina katiba na kanuni zilizoandikwa, nchi ina katiba na sheria zilizoandikwa?
Ukichunguza sana utaona Polepole hana nia ya kuweka ukweli wazi, ana nia ya kufanya siasa za kumuondoa Samia.
Ndiyo maana hata kwenye kusema maneno anadunduliza kupata mileage, jambo la kusema kwa neno moja anataka kulisema kwa maneno elfu moja.
Kwa nini isiende Bila kufungwa informers wengine si walevi tuHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Hiyo falsafa ya utilitarianism ikitumika kusema tukuue wewe ili kuokoa watu wawili, kwa sababu maisha ya watu wawili ni mara mbili ya maisha ya mtu mmoja, utakubali?Katika falsafa ya utilitarianism kuna kitu kinaitwa utilitarian calculation..
Kuchagua chaguo lenye ubaya mdogo zaidi kwa jamii kwa mtazamo wa matokeo...
Mfano mgombea A anakandamiza democracy, lakini anajulikana kuharakisha miradi ya miundombinu , barabara, reli, nishati n.k
mgombea B ana tuhuma kubwa za ufisadi, pia anajulikana kwa kushindwa kutekeleza ahadi, hakandamizi demokrasia...
Kwenye uchaguzi wapiga kura wengi wataona bora tumchague Mgombea A at least miradi itaendelea na uchumi utaimarika, hata kama kuna ubaya katika ukandamizaji wa democracy...
Niseme nikitumia falsafa ya utilitarianism ni bora anachosema Polepole kifanyike kuliko namna nyingine...
Polepole yupo katika uelekeo sahihi, watu waende nae, huko mbele kila mmoja atachepuka na njia yake... full stop...
Anachopinga ni sahihi..
Anayosema ni sahihi..