GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wahuni. Na huko nyuma ya pazia kutakuwa na mipango mikali sana dhidi ya kiparangoto
Wanajifanya kama hawajali, lkn ni suala la muda tu watampiga tukio
😂😂😂
 
Reactions: x x
Sisi tunashanglia kwa kuwa siri zinatoka na mwenyekiti nae kanyamaza .Whether Slow slow ni CCM from Jiwe or not sisi tunajua alikuwa katibu mwenezi hata kama kwa mwezi mmoja.Nilichogundua mwenyekiti anatakiwa aonyeshe leadership yake na kuhakikisha hiki kitu cha kusema siri za chama au kumjibu slow bila mpangilio kikomeshwe .Ukiona mwananke au wanawake wanatoa siri za ndani ,ujue Mume wao hamnazo .Ndio yanayotokea CCM kwa sasa.Rostam ndio yuko na Mama ndio muda wao ,Slow alikuwa na jiwe .Sisi tunacho shangilia ni nyumba moja ina nyufa nyingi inategemea mpangaji ni wa tabia gani.
 
Sawa. Nini kifanyike ?
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake
 
Vinahusiana nn?
Au hujaelewa hoja?

Hoja Kwann wasimpotezee mtu Ambae Hana vinasaba na ccm? Means Hana impact yyt ht aongee Shida nn?
Nasaba na impact vitu viwili tofauti,una shida gani!?..mtu akianza kuichafua familia yenu kwenye Media hutojibu?!
 
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
Hao walionunuliwa si ni watu huru? Au walilazimishwa kununuliwa? Unaingilia uhuru wa watu wapende nini na nini wasipende?
Mimi nilihama chadema na kumkubali Mwamba Magufuli ni baada ya CHADEMA Kumleta waliyemnadi kuwa fisadi kuwa mgombea.
Kwamba mimi pia nilinunuliwa?
 
Nawe usiye fala hebu itisha waandishi wa habari tuone kama mitandao itafungwa.

Wapuuzi wote...chawa, kunguni na mende mtajitokeza mmoja baada ya mwingine.
Okay, what is next ??? ni bogus tu polepole there nothing can happen kwa kelele zake Huyo mwendawazimu
 
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
Big brain hujadili yaliyo mbele yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…