Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Lissu mwenyewe alishaeleza kuna vijana wanamfuatilia lakini pia mwenyekiti wa Bavicha taifa ameeleza tishio la kuuawa Lissu. Hiyo taarifa haitoshi kujua wahusika? Au kuna sababu sza kupuuza hizo taarifa?
 
Wamuondoe hapo wakodi ndege wampeleke nje



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi hao wauwaji walipitaje pale getini na risasi na kutoka baada ya kupiga? kwanini wametaget Tundu Lissu
 
Ndio nilikuwa naunganisha dot zangu nilichowaza ni sambamba Na haya maneno, pole sana lissu
 
Njia yao na iwe Giza na utekezi, Malaika Wa Bwana akiwafuatia, warudishwe nyuma wafadhaishwe wanaoleta mabaya, wachimba mashimo watumbukie wenyewe, Katika jina la Yesu...kila mmoja aseme amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…