Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,645
Mi ndiyo zaid mkuuYaani sisi wananchi sisi hapa twaweza kuwa wapelelezi wazuri zaidi kushinda Polisi?Ndo maana nawachukiaga polisi haki ya nani vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ndiyo zaid mkuuYaani sisi wananchi sisi hapa twaweza kuwa wapelelezi wazuri zaidi kushinda Polisi?Ndo maana nawachukiaga polisi haki ya nani vile
Wamuondoe hapo wakodi ndege wampeleke njeHakika watakuua hata huko Hosp bado ninamashaka usikute kazungukwa na watoa roho wakiwa wamevaa makoti meupe au si ajabu kuna maelekezo kwenda kwa madaktari kuwa wahakikishe anakufa. Jamani hivi Mungu tunayemuomba ndie huyohuyo Mungu wa Yohana anayemsema kuwa ni mpenzi wake??? Au Mungu wake ni huyu tunayemwita Shetani sisi???????
Ili ushahidi ufutwe sindio?nenda ukapeleke hiyo taarifa yako polisi. mbona umejificha jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia uchochezi ndio huu
Ndio nilikuwa naunganisha dot zangu nilichowaza ni sambamba Na haya maneno, pole sana lissuKutoka kwa Joseph Selasini Mbunge wa Rombo,,,,
Amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka
bungeni na dereva wake alilishtukia.
Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.
"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu
walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu."
Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema
anaendelea vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angepigwa nanihii, wangesema hivi!!HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Wewe nikipofu umeonaje haya maandishi?Kama kuna mtu hana akili na wewe umo. Unaichukia selikari kwa lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app