Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Lissu mwenyewe alishaeleza kuna vijana wanamfuatilia lakini pia mwenyekiti wa Bavicha taifa ameeleza tishio la kuuawa Lissu. Hiyo taarifa haitoshi kujua wahusika? Au kuna sababu sza kupuuza hizo taarifa?
 
Hakika watakuua hata huko Hosp bado ninamashaka usikute kazungukwa na watoa roho wakiwa wamevaa makoti meupe au si ajabu kuna maelekezo kwenda kwa madaktari kuwa wahakikishe anakufa. Jamani hivi Mungu tunayemuomba ndie huyohuyo Mungu wa Yohana anayemsema kuwa ni mpenzi wake??? Au Mungu wake ni huyu tunayemwita Shetani sisi???????
Wamuondoe hapo wakodi ndege wampeleke nje



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi hao wauwaji walipitaje pale getini na risasi na kutoka baada ya kupiga? kwanini wametaget Tundu Lissu
 
Kutoka kwa Joseph Selasini Mbunge wa Rombo,,,,

Amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka
bungeni na dereva wake alilishtukia.
Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.

"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu
walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu."

Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema
anaendelea vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilikuwa naunganisha dot zangu nilichowaza ni sambamba Na haya maneno, pole sana lissu
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Angepigwa nanihii, wangesema hivi!!
Walaaniwe hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia yao na iwe Giza na utekezi, Malaika Wa Bwana akiwafuatia, warudishwe nyuma wafadhaishwe wanaoleta mabaya, wachimba mashimo watumbukie wenyewe, Katika jina la Yesu...kila mmoja aseme amina
 
Back
Top Bottom