Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Em kuwa km binadamu mwenye moyo wa nyama, Lol
hiyo ni muhimu sana my lady kwa kila bianadamu kua na aina hiyo ya moyo,

lakini,
tukio hilo baya lililompata kiongozi wetu wa dini limeshatokea tayari na lina utata mwingi sana,
na ndio maana hata mimi nimesema huenda limetokea kwasababu ya hicho nilichokisema.
But nimesikitishwa, nimefedheheshwa sana na kitendo hicho cha fedhuli kufanywa na watu wazima humu nchini.

ni muhimu kusubiri uchunguzi wa polisi ukamilike, lakini pia maelezo ya muthirika ni muhimu zaidi ikiwa alikua timamu wakati wa tukio.

Zaidi sana,
tumuombee kwa Mungu kiongozi huyo apate ahueni na uponyaji wa mapema
 
relax gentleman,
hakuna haja ya kubwekabweka uchunguzi unaendelea na kama muathirika alikua timamu pia atajieleza kufananikisha uchunguzi.
kumbwelambwela sio muhimu sana kwenye jambo hili
We mbwa one day, you and you masters will die by a thousand cuts.
 
Hivi hadi leo bado kuna mtu ana amini kuwa mke ni mali yako peke yako poleni sana ..samia bushiri kamtimua mumewe na kuishi na viben 10 huoni lips stick 💋anayo koleza mdomoni unsjua nini maana yake
calm dow ndungu mdau
 
Siku zote lisitokeee, ndo litokee Leo? Ko huyo mbaya wake kaamua sahivi kulipa kisasi, kadri ya maelezo yako
 
Polisi mara nyingi matukio kama haya huwa wanawakamata watu wenye rekodi za uhalifu na kuwadondoshea jumba bovu. Nawahakikishieni kabisa huyo jamaa hajui chochote kwenye hilo tukio.
 
Nakuelewa kiasi
But sio sawa kubariki huo upuuzi na unafahamu Sisi ni wanafiq…. Na kulink directly to thr office number 1.

If they want to do anything, it won’t be kumpiga kichwani na kuacha atembee

Wabongo don’t want accountability And we are willing to ruin anything just to be right

Hakuna binadamu who can control that especially living with I Tanzania ndio maana tunaishia kwenye hizi drama badala ya kutaka mabadiliko ya kweli yenye utaifa kwanza

And for this - come 72 hours, utaona limepoozwa becquse litakua limekosa traction iliyotegemewa

Btw, why chadema fanatics watangaze hii kitu hata kabla ya kanisa?
 
Tanzania bado haijafikia kuchukua hatua kama hizi kunyamazisha watu, ni ukosefu wa akili na maarifa tu kwa watu wa mifumo kudili na haya mambo.

Dunia ya sasa huhitaji kuumiza watu ili wakuogope ili ushinde uchaguzi, haya ni mambo ya kizamani sana, kama mmechelewa kuyafanya zile zama za giza basi mtambue kwa sasa mnajitia aibu tu.
Zama hizi inahitajika akili tu kunyamazisha watu sio miguvu.
 
Mkiambiwa amna shukurani mnakasilika, mpeni haki yake,wapeni hongela pale wanapostahili hata kama wameyapanga ni yao,na wanapokosea pia muwape dozi.Ndipo nchi itakaa sawa ,
Japo kisiasa Upande wa upinzani hautakiwi kuunga mkono wala mguu mafanikio ya chama kilichopo madarakani ,inavyotakiwa ni kupinga kila kitu bila ya kusababisha madhara ,ndio ukaitwa upinzani.

Mfano CCM nasikia wamejenga mashule ya magorofa , jambo zuri sana tu ,utalipinga vipi ? ACT wamelipinga na kuvuruga matarajio ya CCM kuwa wananchi watafurahia kujengwa kwa mashule ya magorofa.
 
Dah

Aliingiaje kule mbona kuko safe sana
Bro pale hapako safe,kwani kwanza kuna kumbi nyingi za mikutano,kuna malazi ya watu wengi ambao huja kwenye semina na pia kuna baa ambapo mtunyoyote huruhusuwa kuja kunywa na pale getini,ukishasema tu upo kwenye semina au umekuja kunywa unaruhusiwa kuingia na huwa hawakukagui kabisa.Kwa sasa inabidi waweke ulinzi na ukaguzi imara
 
Siku zote lisitokeee, ndo litokee Leo? Ko huyo mbaya wake kaamua sahivi kulipa kisasi, kadri ya maelezo yako
nimesema huenda ni matatizo bianfsi baina ya wahusika,
zaidi sana huenda ni kwasabau ya matatizo ya ndoa na familia, au huenda ni kwasabau ya dhuluma, madeni ya pesa au mali, lakini pia huenda ni kwasababu ya tofauti za kiimani, maoni na mitazamo dhidi ya mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa au kiuchumi, lakini pai huenda tukio hilo ni visasi vya kisiasa au kutofautiana kauli kwenye kupata moja baridi moja moto
 
Kuna mwana kaangushiwa jumba bovu tayari huko
 
Kuna wale jamaa walishikiliwa Kwa kumteka deogratius, ile kesi iliisha kimya kimya au ilikua danganya toto?
 
Mmmh hauko serious wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…