Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

mke wa mtu sumu,
na ukumbuke hasira za anaibiwa mke huaga hazina breki
Hivi hadi leo bado kuna mtu ana amini kuwa mke ni mali yako peke yako poleni sana ..samia bushiri kamtimua mumewe na kuishi na viben 10 huoni lips stick 💋anayo koleza mdomoni unsjua nini maana yake
 
Yeh. My pot, may be... is better than yours.... Katu huu ujinga wa watanzania wengi kuwa ''rais anaangushwa na wasaidizi wake'' au ''kuna watu wanataka kumharibia rais'' siyo chakula changu.
Sure your pot is better than mine

Siyo kila mwana ccm ni msaidizi wa mwenyekiti wa chama… unless hujui siasa

We could be having G55 hata huko ccm

Usijitoe ufahamu, wewe ni mkongwe humu… unless you are advocating for dictatorship within the party
 
Kushambulia Katoliki ni shambulio dhidi ya Ukristu
 
Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
 
Huyu aliyekamatwa asiwe mbuzi wa kafara. Ndugu mfuatilieni ndugu yenu.

Mulliro sio ajabu akakamatwa kijana wa Chadema kindakindaki wakampa hii kesi ya father. Mungu aingilie kati.
 
Point yangu ambayo hujaipata na kuijibu ni hii: Samia ndiye ameapa tena kwa katiba na msaafu wa dini yake kuwa rais. Hii ina maana kuwa viongozi, wasaidizi, na wakuu wa vyombo vya dola ni yeye anawaweka. Indirectly unaweza kabisa kufanya conclusion kuwa tukio lolote baya linalofanywa na walio chini yake, linalojirudia rudia anakuwa amelibariki. Kama sivyo kwa nini hawaondoi?
 
Polisi uvccm bhana, jina la mtuhumiwa la kidosi,
Je hapana Camera hapo?
Kama Camera zipo zifanyike reviews ili kuangalia je ni huyo anayeshukiwa na polisiuvccm??
 
Murilo ni mbwa. Takataka kenge kama Tlaatlaah
relax gentleman,
hakuna haja ya kubwekabweka uchunguzi unaendelea na kama muathirika alikua timamu pia atajieleza kufananikisha uchunguzi.
kumbwelambwela sio muhimu sana kwenye jambo hili
 
Polisi wameanza igizo rasmi, tutasikia mengi ili kuficha ukweli halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…