MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Ni kawaida yao kukwapua na leseni,,,Hawa kunguru siwakubali hata,,,Kuna siku tupo mikumi alimlazimisha dereva ampa leseni,si alimtwanga ngumi,,,,nilifrahi.Hilo li traffic lilichomoa funguo ya gari. Huo ndio utaratibuu?
Iko wazi;
Kama kapigwa na wananchi ni jinai, kama kapigwa na polisi ni jinai.
Muhimu kwenye jinai yake ya kwanza - alipaswa kuwa na busara na aoneshe kielelezo cha usomi wake. Lakini hakufanya hivyo na kama kaweza kupiga askari barabarani kwa kutumia logical thinking anaweza kupiga mke nyumbani, anaweza kupiga dada au kaka wa kazi nk. Ndio maana napata shida sana nikiona mtu anatetea jinai yake.
Nakumbuka kuna askari mmoja alikuwa anaonea sana watu. Akamwonea na daktari pia. Daktari akawaeleza madaktari wrnzake pia. Siku moja askari yule kawa anasumbuliwa sana na maumivu ya jino, daktari aliyeonewa hakuwa wa kitengo hicho, askari akaandikiwa ang'oe jino, jamaa wakijua jinsi yule alivyo mwovu, wakang'oa jino lililokuwa zima, wakaliacha lililokuwa na tatizo. Jamaa akaendelea na mateso, lakini akaogopa kwenda tena hospitali, akaishia kwawaganga wa kienyeji wanaong'oa meno.
Polisi wanatakiwa kujua kuwa pamoja na kupewa bundumi, bado wao ni wanadamu, wanapotimiza wajibu wao, watangulize utu, na siyo kwa hali iliyopo sasa, ambapo polisiwengi, ni aheri ya majambazi.
Acha uwongo wa kitoto, hakuna mtu wa kumpiga askari ukaachwa wadanganye wehu wenzio! Askari kuchukua leseni ni sawa kabisa msitake kushindana na jeshi nyie wapumbavu mtaumiaNi kawaida yao kukwapua na leseni,,,Hawa kunguru siwakubali hata,,,Kuna siku tupo mikumi alimlazimisha dereva ampa leseni,si alimtwanga ngumi,,,,nilifrahi.
Hiki kitu ni mbaya maana waki retaliate itabidi wakatibiwe hospital za jeshi
Duh? Hiii vita ishakuwa ya Kisasi ni Haki. Maana sasa kama familia ya Mapolisi ikafika hospital ikachomwa sindano yenye maambukizi ya Kansa, Liver Hepatitis au HIV watatoboa kweli ndugu zetu maafande. Duh? Naona kama wamemkanyaga nyoka mkia
Ulikuwepo??Acha uwongo wa kitoto, hakuna mtu wa kumpiga askari ukaachwa wadanganye wehu wenzio! Askari kuchukua leseni ni sawa kabisa msitake kushindana na jeshi nyie wapumbavu mtaumia
Mwisho wa siku vitaumana kwenye hospital zao jeshi, wanarudi tena huku huku. Kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado hakujawa na Dr. za wakutosha.
Sindano za ng'ombe zinawahusu....
Kabisa kuna askari hawana busara imewahi kunitokea askari wa barabarani alichomoa ufunguo wa gari langu halafu nikamfwata kumsemesha akawa hanijibu akanikalisha masaa ikabidi nijiongeze ndo nikachomoka pale . Usipoweza kujizuia hasira ndio yanatokea kama hayoMajamaa Yana dharau sana, unakuta anachukua funguo ya gari halafu Hana time nawewe Wala kujali muda wako, akifa huyo daktari,wenzie Wanaweza kulipa kisasi kwenye kuwatibia na wao.
π π πBora za ng'ombe, hao wapewe zile wanazopeea mbwa chanjo, kuzuia kichaaa chao πππ
Polisi wanasema wamejipanga wana madaktari wao ππ semeni lingine
Mlongazila lazima wakanyage na hawatoki salama.
Kwani amepigwa na polisi au wanajeshiMapolisi?? Hao wanajeshi baadhi ndio wanaotibiwa huko hospital kwao, wengi wanaranda randa humu humu za kawaida.
Ni kawaida yao kukwapua na leseni,,,Hawa kunguru siwakubali hata,,,Kuna siku tupo mikumi alimlazimisha dereva ampa leseni,si alimtwanga ngumi,,,,nilifrahi.