peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Muliro alipata Division Four,form four! Nilisoma nayeAskari aliyepata division three au four, huyo sio failure. Failure ni yule wa Zero. Alafu Unakuta Polisi alipata division three akiwa hukooo vijijini, huyo ni very bright.
Sina evidence, ila hakuna failure anayeweza kuwa mkuu wa Polisi wa Jiji number moja kama Dar.Muliro alipata Division Four,form four! Nilisoma naye
Wewe huo ni Uongo bhanaa story kama Movie za kikorea bhanaaaMara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
Ila wewe ni Kaongo MkuuMara nyingi siyo kwa raia mkuu, watu wa usalama wao wanajuana ndiyo maana huyo aliyempiga lazima ni usalama na kitakachotokea hapo hiyo ni vita MURA huyo askari nakuhakikishia atafukuzwa kazi na Muriro usishangae akaondolewa kwenye hiyo nafasi. Kwa hali ya kawaida hakuna raia mwenye ujasiri wa kumpiga askari ila lazima iwe kwenge mfumo kwa mfumo. Kuna askali mmoja aliwafanyia hivyo watu wa usalama wakamchapa mpaka mguu ukavunjika then polisi kama kawaida yao wakamkamata ndani weka aisee hao askali na huyo aliyevunjika mguu kilichowapata walijuta. Ndiyo maana nakuhakikishia huyu traffic kama mjanja alipaswa kuwahi kuzui asipigwe na hao askari wote walioshiriki kuMpiga wana chamoto toka kwa TISS, na uzuri wa TISS yaani unapata kichapo hata hujui kimetokea wapi.
Haka kajamaa kaongo sana basi tu vijistory tafikiri tupo vijiwe vya kahawa kakuna na ngumbaru wenzie afu watu wanaona TISS ni lidude sijui dude gani wakat hata kwa Seniority wako chini ya PolisiNikwambie mzee, umeandika meeeengi ila yote hayo ni hisia zako tu sio ukweli wa mambo.
Kuua ni dhambi hawa wapewe dozi kubwa ya bisacodly na muscle relaxant Wajinyee usingiziniPolisi wakija, tutakuwa tunawachoma sindano za ...... kimya kimya, vita ni vita muraaa
Simba alie kula mtu, huwa anatafutwa kwa udu na uvumbi atoweshwe kinyume na hapo huwa ni majanga. Askari polisi wameona kua sasa hivi ni haki yao, wana kichaa cha kuua na mtu mwenye kichaa cha kuua kuna mna ya kumtulizaa mkuu 😅😅Kuua ni dhambi hawa wapewe dozi kubwa ya bisacodly na muscle relaxant Wajinyee usingizini
Nimependa hili neno haki ni hakikisasi ni haki
Kiini hasa ni nini? Polis kuchomoa funguo au Dokta kumpiga Polis?Kama jambazi anayetumia silaha ya moto anauwawa, wewe unayetaka kupora silaha ya askari sheria haiwezi kukutetea.
Hoja ni Dr. aliyempiga Polisi, na yeye kupigwa. Asingempiga polisi, tusingejadili suala la yeye kupigwa
Kama vile kosa la Polisi kuchomoa funguo lilivyokuwa linatumika kuficha kosa la Dr. kumpiga Polisi. Watu wengi walijadili chimbuko (kuchomoa funguo), wakaacha kujadili kosa la Dr (kumpiga Polisi). Kwahiyo, hiyo chicken syndrome ilianza mwanzo, acha iendelee.
Kutibiwa wataenda hata kesho tu au usiku huu wapo baadhi wanatibiwa, ila Hasira siku zote mwisho wakw mbaya sana ni kama sasa mnaunga mkono kwa kuweka namna ya kudeal na hao polisi vituoni wakat jamaa alipo huko sasa yupo mwenyewe anajuata kwann alifanya vile vinamgharimu!!
huenda ni jambazi yule na sio daktari 🐒Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
Mahita alikuwa IGP, alipata division gani,Form four?Sina evidence, ila hakuna failure anayeweza kuwa mkuu wa Polisi wa Jiji number moja kama Dar.
Yes mkuu, ndo maana nikakuambia jinai ya daktari si hoja, ipo wazi ni jinai na ina miongozo yake ya adhabu ila Kuitumia kutokujadili uwezekano wa jinai ya askari ndo kwangu nikaona si sawa.Iko wazi;
Kama kapigwa na wananchi ni jinai, kama kapigwa na polisi ni jinai.
Muhimu kwenye jinai yake ya kwanza - alipaswa kuwa na busara na aoneshe kielelezo cha usomi wake. Lakini hakufanya hivyo na kama kaweza kupiga askari barabarani kwa kutumia logical thinking anaweza kupiga mke nyumbani, anaweza kupiga dada au kaka wa kazi nk. Ndio maana napata shida sana nikiona mtu anatetea jinai yake.
Acha story za Vijiweni Mkuu, Saaa hapo kwa Tukio la huu mjadala unaoana Dakitare kaonewa!?Nakumbuka kuna askari mmoja alikuwa anaonea sana watu. Akamwonea na daktari pia. Daktari akawaeleza madaktari wrnzake pia. Siku moja askari yule kawa anasumbuliwa sana na maumivu ya jino, daktari aliyeonewa hakuwa wa kitengo hicho, askari akaandikiwa ang'oe jino, jamaa wakijua jinsi yule alivyo mwovu, wakang'oa jino lililokuwa zima, wakaliacha lililokuwa na tatizo. Jamaa akaendelea na mateso, lakini akaogopa kwenda tena hospitali, akaishia kwawaganga wa kienyeji wanaong'oa meno.
Polisi wanatakiwa kujua kuwa pamoja na kupewa bundumi, bado wao ni wanadamu, wanapotimiza wajibu wao, watangulize utu, na siyo kwa hali iliyopo sasa, ambapo polisiwengi, ni aheri ya majambazi.
Wajaze upepo MkuiMadaktari tunawategemea, tunaomba msituangushe.
Sio upepo, adui unayemmudu dili nae kadri inavyowezekana. Takataka hizi zimetuzoea vibaya sana. Wanafanya uonevu wa wazi na wanalindwa na wenye mamlaka maana nao wanawatumia kwenye madhambi yao.Wajaze upepo Mkui
Mahita aliingia Polisi mwaka gani?? Muliro aliingia mwaka gani?? Au wote ni intake moja??Mahita alikuwa IGP, alipata division gani,Form four?
Na nini katoto???Unatuudhi
Tunataka wakija hospital uwadunge sindano za sumuNa nini katoto???