Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Pascal Mimi nqona makonda yuko sawa na huu utaratibu wakudeal na mawaziri Balozi Polepole alikua ameuanza kwenye kituo kimoja cha matangazo.
 
Labda Boss wake ndio kamuagiza Afanye hayo ayafanyayo.
I don't think!, haiwezekani Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia akae CC na PM, asimpe maelekezo ya chama, watoke kwenye kikao, halafu Samia ampe maelekezo Mwenezi amkoromee PM na kumpa ultimatum?!. No!.
Huyo ni Konda Boy mwenyewe!, hajatumwa na Mama!. Konda Boy is not Samia's protege!.
P
 
Wasi wasi wangu ni Kama ataupata ujumbe halisi uliokusudia kumfikishia.


Ajitahidi kuchanganya na zake hapa, azibe masikio, afunge macho InshaAllah β€˜picha’ itakuja.





Kingine ajitahidi kuoga na kujiswafi kila muda, Chawa ni wadudu wachafu na dhalili.
 


Wingi wa watu katika tukio lolote lile unaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja. Msiba, Ajali ….n.k

Ila pia hapa tunaweza kusema asilimia zaidi ya 20 wako katika kutimiza majukumu yao ya ki Chama.





Na kwenye kula wenzetu wanajulikana kwa kuwa na umoja wa hali ya juu.
 
Ccm ni chama Cha wahalifu, hivyo haishangazi muhalifu kusemekana amekifufua.
 
Ndugu ya MAYALA ww na makonda ni kabila moja na huna namna lazima ,uma na kupuliza.
Hoja yangu ni hii

Ndugu yako ni mchafukoge yaani anajua sana kuchafua maji yaliyo tuama kisimani,tena kwa kuchukua vumbi LA nje kumwagia ndani akidhani akifanya hivo tope LA ndani litatoka kwani vumbi likumwagiwa ndani tope kitapanda juu kuchujika ,kumbe Mara vumbi likugusa maji huwa tope na hutuama chini natope kuzidi yaani Mara zote maji ni less denser than tope

Ufafanuzi: huyu makonda anataka kumwagia vumbi kwenye kisima akidhani tope litapanda juu ili achuje apate maji safi kumbe ,ulongo

Wafipa wana msemo " akantasundwa kayile na manvi kuwukoyi "means,undisplined man went with mavi (toilet waste) to the father in laws. Makonda hajui kuamini wenzie yy daima wengine wamekosea yy
atanapatia ,Huyu ni kivuruge CCm iliyo waka moto wakati wa, Lowasa inakuja ,natabiri nguri kujitoa ndani ya Ccm na ndio mwisho wenye mwisho wa CCM ,mi siichukii Ccm bila uongozi wake wa kijamaa Mimi ,ningekuwa msukuma mkokoteni asiye jua A,B,C,D etc

Tuna,kupenda Ccm ila unajitengenezea moto wa kifuu unaitwa Makonda.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kbs mkuu
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa chadema (chama cha watoa taarifa) ndugu yangu Erythrocyte asione hii πŸ˜‚
Ndoto zake za kuwa mbunge wa Kyela zimeyayuka kama chumvi majini.

Hata Mbowe akimpitisha kugombea ubunge wa Kyela bado ataangukia pua tu.

Kachagua upande mmbovu sana wa chama.

Kwa kiswahili cha mtaani tunasema kaachuuzwa na wenzake
🀣🀣🀣
 
japo nao wanampuuza ingawa adharani wanaonekana kutii maagizo yake lakini kiuhalisia hakuna hata mmoja anayetekeleza maagizo yake.
Tusubiri baada ya miezi 3 tutaondoa mawaziri wanapanga mstari kwenye ofisi ya Makonda na mafaili ya ripoti ya utekelezaji.

Halafu baada ya miezi 6 tutamuona Kasimu Majaliwa akiwa amebeba faili kubwa lililosheheni viwanja vya nchi nzima na ripoti ya usuluhish wa migogoro yote ya viwanja hivyo.
 
Tusubiri 2025 kwenye kilio cha tulishinda ila tumeibiwa kura πŸ˜‚ mimi cjawah kupiga kura na wala sina mpango wa kuja kupiga kura hvy ht cjui anayeshinda na anayeshindwa hua kura zao zipoje
 


Karata ya usafi na uchafu wa mienendo binafsi na matumizi mabovu ya ofisi zikiwekwa mezani, unaweza kukuta Makonda yupo namba za elfu moja na huko na hao wahojaji wakishika namba moja mpaka mia.
 
huyu kaletwa kwa mkakati maalum kufuta uvumi wote wa bandari kiukweli CCM imefanikiwa maana siku hizi zile kelele za bandari zimepotea kabisa
 
Kweli Paskali...Ngoma ikilia sana hupasuka. Na mbwembwe ziwe na kiasi na staha.
Rule number one of POWER β€œ Never outshine your boss β€œ!
Bashite is committing suicide by not only outshining his boss but all his bosses?πŸ™†πŸΏβ€β™€οΈπŸ™†πŸΏβ€β™€οΈ
Sio hivyo tu kwa kutumia proxies wake anawakashifu wakina Chongolo, Kinana na Kikwete na Mama Abdul anacheka cheka tu!’ Samia aliwekwa madarakani na hawa ambao Makonda anawatukana; na nina uhakika kuwa kama walimuweka wana uwezo wa kumuondoa Samia! Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…