Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Hao ni chawa tu wanajiweka karibu na mamlaka
 
mapesa, wewe ni takataka tupu. Shivji ni mchumia tumbo? Wewe ni mavi uharo kabisa. Shivji is a great figure on earth! anaweza fundisha University yoyote duniani akalipwa a very dear salary, hata havard
 
Uelewa wake ni mpana sana kwenye masuala mengi anayoyakagua, ni mkaguzi mkuu wa serikali.

Watanzania tujifunze kuheshimu taaluma za watu.
Assad ndo kashindwa kuheshimu Taaluma za watu,kwenye jambo la Sheria yeye ana-authority Gani ya kusema Shivji ana uelewa mdogo.Kwenye masuala ya Sheria yeye ni mbumbumbu tu u- Zanzibar wake na njaa vinamsumbua,Shame on him
 
Huyu naye ni mdini balaa
Kumbe nalo ni lipuuzi likubwa na takataka tupu. Yaani Shivji hana uelewa? Lisu hana uelewa? Tibaijuka hana uelewa? Lugemeleza hana uelewa? mwabukusi hana uelewa?
exactly udini unamsumbua sana nan ndiyo maana alipotimuliwa alikwenda morogoro muslim univ kwa wadini wenzake
 
Acha kupotosha watu hapa au unadhani wewe peke yako ndio umefanya kazi na assad udsm?
 
Profesa Assad husimama kwenye ukweli sio mtu wa kuyumbishwa. Shivji na wenzake hawajawahi kuiunga mkono serikali yoyote ya CCM. Kinachonisikitisha ni nyumbu kuanza kumrushia maneno ya hovyo Profesa Assad.
Kwa hiyo unataka kusema shivji &Co ltd ni pingapinga

Ova
 
Assad ndo kashindwa kuheshimu Taaluma za watu,kwenye jambo la Sheria yeye ana-authority Gani ya kusema Shivji ana uelewa mdogo.Kwenye masuala ya Sheria yeye ni mbumbumbu tu u- Zanzibar wake na njaa vinamsumbua,Shame on him
Prof Shivji alishindwa kuiona tofauti ya BIT na IGA, aliuingia mtego ule ule uliowanasa watanzania wengi wa kudhani kuwa mkataba uliokwenda bungeni ndio huo huo utakaotumika kibiashara wakati ukweli ni kwamba kibiashara itabidi iandikwe mikataba mingine kutokana na mawanda ya uwekezaji mzima wa DP World.

Profesa Assad hajaongea kama mjamaa, wakati Profesa Shivji aliongea kama mwanafunzi wa zamani wa Mwalimu Nyerere aliyeamini na kuzama kwenye fikra za kijamaa.
 
Sasa ukiambiwa una uelewa mdogo kwani ni kosa?
 
..Tundu Lissu amesema mkataba haukuandaliwa msikitini, hivyo tuachane na ushabiki wa Kidini.

..kwa upande wangu nawaamini hoja za Prof.Shivji, na Prof.Lipumba kuhusu Dp World zina mashiko kuliko za Prof.Assad.
Waambie wanaompinga professor kwa hoja za udini kuwa wameishiwa hoja
 
Professor Mussa siyo mzanzibari hivi mnazusha kwa faida ya nani?
 
Ndio mnavyodanganywa huko hivyo sio? heshimuni na maoni ya watu wengine,msijione kua ni nyinyi pekee yenu tu ndio mna uhuru wa maoni.
Uhuru wa maoni usio na mipaka ni vurugu..assad analeta vurugu..
 
Unajua kwanini shivji hajawahi kupewa nafasi yeyote serikalini ya uongozi tangu baba wa taifa mpaka anastaafu utawala wa kikwete alikua mwalimu tu?
 
Tunafahamu Waislama madhaifu pekee ambayo huwa wanaona ni ya wakristo,madhaifu ya mtawala amabye ni Muslim mwenzio huwa hawaoni.
Muslims ni ndugu zetu but niwabaguzi sana,Assad ni mtaalamu wa fedha mambo ya sheria na uchumi awachie wabobezi katika maswala hayo.
 
Hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…