Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Tunafahamu Waislama madhaifu pekee ambayo huwa wanaona ni ya wakristo,madhaifu ya mtawala amabye ni Muslim mwenzio huwa hawaoni.
Muslims ni ndugu zetu but niwabaguzi sana,Assad ni mtaalamu wa fedha mambo ya sheria na uchumi awachie wabobezi katika maswala hayo.
Well said, Assad hana tofauti na Zitto ni wadini sn
 
Kuna watu wanawapenda waarabu akah!! Wako tayari kutoa chochote yaan chochte kisa mwarabu ahhhahh. issue ya bandari wanaopinga wakristo wanaosupport waislam 😛😛😛
 
Waislam wanaamin akiwekeza dp basi watapendelewa sana, Nchi itakuwa fully islamized na pia wanaona hii ndio fursa ya wao kujenga ukaribu na watu wa pepo yaan waarabu😛😛
 
Ujinga huu wa kuwaona wale jamaa watu wa peponi mmoja kule arabuni alikula mav ya mwarabu na clip zipo 😛😛
 
Zanzibar hao kila siku wanalia na nchi yao na sio kwamba wanataka wamwage jasho kuiendeleza la hasha! Wanataka wamkabidhi mwarab alafu wao wawe manamba 😛😛😛😛
 
Siyo kweli, majority ya waislamu hawaungi mkono hili suala la bandari. Mnakosea sana kuingiza dini kwenye masuala ya kitaifa.
Mkuu wasomi wakubwa wa kiislam wanawasapoti akina mwabukusi?
 
Kazi ipo huu mkataba umesainiwa 2022 baada ya kuvuja wakajifanya wanauleta bungeni ili kuwaziba masikio watuu watu wakaupinga bac wakaamua kuufanyia kampeni tanzania nzima halafu mtu kabisa haoni kabisa kitu hakipo sawa hapo !!! Licha ya kuwa huo mkataba haujaeleza ni jinsi gan tanzania itanufaika pamoja na mapungufu mengne kibao bado watu hawaelewi
 
Dini ni cancer mbaya sana kuwahi kuikumba Africa. Mtakuwa watumwa mpaka lini?? Kwann mkiona ngoz nyeupe au brown akili zinatutoka? Nyie mnaowasapot waarabu siku wakishika nyanja zote ndio mtajua rangi za hawa jamaa. Mtakuwa vibarua wao mpak mkufe
 
Kazi ipo huu mkataba umesainiwa 2022 baada ya kuvuja wakajifanya wanauleta bungeni ili kuwaziba masikio watuu watu wakaupinga bac wakaamua kuufanyia kampeni tanzania nzima halafu mtu kabisa haoni kabisa kitu hakipo sawa hapo !!! Licha ya kuwa huo mkataba haujaeleza ni jinsi gan tanzania itanufaika pamoja na mapungufu mengne kibao bado watu hawaelewi
Mtu kapewa v8 wengne maprado na mkwanja wa kutosha anashindwaje kujitoa akili?
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099


Prof. Assad: Kuongeza kodi hakusaidii pato la Nchi
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema Nchi zilizofanikiwa sio ambazo zilifanikiwa kuongeza kodi.

Akizungumza katika mahojiano na Channel Ten, Profesa Assad amesema “Kwa mfano kiwango cha Kodi ya Kampuni Nchini ni 30%, hicho ni kiwango kikubwa sana, Taifa kama Ireland ni moja ya Nchi zilizovutia wawekezaji wengi Ulaya, kiwango chao cha Kodi ni 18%.”

Ameongeza kuwa haungi mkono kupanda kwa kodi kwa kuwa ikishushwa makusanyo yake yatapanda na kusaidia Nchi.


Prof. Assad: Mamlaka zishiriki kukuza wafanyabiashara wadogo sio kusubiri mpaka wakue
“Tuwafundishe watu umuhimu wa uwekaji wa hesabu za fedha, si kwa sababu ya kukusanya kodi, akiweka hesabu zake vizuri miaka mitano sita atahitaji mkopo wa benki, baada ya hapo atakata leseni na tutatoa kodi kidogokidogo,” - Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (#CAG), Profesa Mussa Assad.

PROF. ASSAD: MKATABA WA BANDARI UNAHUSU HAKI ZA ARDHI SIO UMILIKI
Akitoa maoni kuhusu uwekezaji wa DP World katika Bandari, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (#CAG), Profesa Mussa Assad amesema tatizo ni dhana ambazo si nzuri kufikiri kuwa wawekezaji watafanya vitu ambavyo havifai pamoja na watu ambao sio wataalam husika kulisemea jambo hilo.

Akizungumza katika mahojiano na Channel Ten, amesema “Kuna wataalam wa uwekezaji wakiwemo Wanasheria wa Uwekezaji japo ni wachache lakini sisi tunawasikiliza Wanasheria wa Kodi, Wanasheria za Familia, Wanasheria wa mambo ya kampuni ambao ndio wameingia katika maeneo ambayo hayana tija na kusababisha dhana mbaya.”

Ameongeza “Watu wengi si wataalam wa uwekezaji, kipengele kinachozungumziwa katika mkataba ni Haki za Ardhi, sio umiliki, wanachomaanisha ni haki ya utumiaji lakini mmiliki ataendelea kubaki Shirika la Bandari, kuhusu suala la ukomo wanaweza kuweka hata miaka 25 au 30 basi ili watu wakafurahi.”

with money. anything is possible
 
Back
Top Bottom