Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Huyo Jamaa mjuaji sana, utadhani ikiwa ilishaandikwa utaondoka hapa duniani kwa ajali za barabarani basi kifo kitasitisha kwa kuangalia professional [emoji848][emoji57]Mzee...Gari limeangukiwa na Container kwa bahati mbaya...Bado tu unamlaumu Dereva?
Ni Kweli kabisa unaeza kuzingatia hayoo, lkn likatokea jitu lingine huko kama hilo Lori kaacha njia kakufuata upande wa pili!lkn ww unakua lbd ktk mwendo wako mzuri tuu na umakini sana lkn ghafla mtu anahama kwake!!naona ulinzi wote tumuachie MUNGU tuuHata mimi nimewahi kushirikiana naye kuandika paper kwa ajili ya matumizi ya wafanyabiashara. Alikuwa ni kijana wa shughuli nyingi.
Niseme tu kwa wale ambao wanasafiri mara nyingi wanatakiwa kuzingatia mambo matatu:
1.Kila safari ni mpya, usitumie uzoefu wako wa barabara husika.
2.Unayeendeshwa, una haki ya kumdhibiti dereva wako kuhusu mwendo na kufuata sheria; pia kumwangalia dereva mwanzoni kabisa kama yuko hali nzuri hata unavyomwangalia, kachoka au vipi?
3. Katika ratiba ya siku husika, jipe muda wa kutosha wa safari; hakuna haraka inayokufanya usifuate sheria na kanuni za barabara.
Mimi nimefuata sheria hizo tatu nimeishi; mara 2 nimewahi gundua dereva anasinzia anapoendesha! Nikamsimamisha.
Baada ya hadhari hizo, ulinzi mwingine mwachie Mungu.
Pole Prof. pole familia, jumuiya ya Chuo na Watanzania; tumemkosa mtu mwema na dereva wake. RIP.
Hakuwa mchoyo kusambaza elimu aliyoipata, alikuwa anatumia media platform zote kuifikia jamii nje ya Mzumbe University Morogoro Tanzania.Prof. Ngowi amshauri kijana muuza maji huko katika mji wa Somanga Kilwa, mkoani Lindi, kuhakikisha anatumia kipato anachokipata kuwekeza kwenye miradi ambayo hata umri ukienda na nguvu zikiisha ataweza kuifanya bila kutumia nguvu. Source : ngowi tv
Inna Lilah Waina lllah Raj'un Mzumbe University wamepoteza jembe Prof' Ngowi alikua tofauti sana na Maprof wengine alikua hana makuu kwa mtu yoyote mwenye elimu na asiye na elimuRudia kusoma uzi upya, tena kuwa makini sana maana watu kama ninyi ndiyo hupelekea kusaini mikataba mibovu sababu ya uvivu tu wa kusoma kwa kina habari husika.
no master plan. Ulichosema ndivyo inatakiwa!Moro - Dar hyo road inatakiwa ipanuliwe , 6 lanes , mtashikana Sana uchawi , single lane hamna kila kitu , kuna wakati msururu wa magari unafika km6 ,
Dereva,ana husikaje hapo?Hata mimi nimewahi kushirikiana naye kuandika paper kwa ajili ya matumizi ya wafanyabiashara. Alikuwa ni kijana wa shughuli nyingi.
Niseme tu kwa wale ambao wanasafiri mara nyingi wanatakiwa kuzingatia mambo matatu...
Jamani jamani. Watu wa maana wanaondoka. Tunabakiwa na .....
R.I.P Prof Honest Ngowi
Anaongelea defensive driving , ambayo haswa ni package mahsusi unapoendesha executives.Mzee...Gari limeangukiwa na Container kwa bahati mbaya...Bado tu unamlaumu Dereva?
kuwa serious kidogo basi mkubwa!Inasemekana gari yake imedondokewa na gari iliyobeba kontena Morogoro