Wala siyo lazima 6 lanes mkuu just 3 au 4 lanes tosha kabisaMoro - Dar hyo road inatakiwa ipanuliwe , 6 lanes , mtashikana Sana uchawi , single lane hamna kila kitu , kuna wakati msururu wa magari unafika km6 ,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rudia kusoma uzi upya, tena kuwa makini sana maana watu kama ninyi ndiyo hupelekea kusaini mikataba mibovu sababu ya uvivu tu wa kusoma kwa kina habari husika.
Shukrani sana,nilikuwa sifahamu hili...
AmenPole sana kwa familia na wote tulioguswa na msiba huu. Adui wa mwisho kuangamizwa kitakuwa ni kifo pale Kristo atakaporudi mara ya pili na hivyo hatutatengana tena. Mungu atufundishe kuzihesabu siku zetu na kutupa moyo wa hekima
Inawezekana dereva alisinzia lori ikaacha njia.R.I.P
Hii barabara isipotanuliwa na kuweka dual carriage way tutaisha sana kwa kweli lawama tutawapa sana madereva lakini ukweli tuuseme barabara hii ni bado ya kizamani hailingani na matumizi ya idadi ya magari iliyopo sasa.
Wanasiasa hebu tumieni hicho kiwango cha posho zenu kuokoa maisha ya watu kwa ajali ambazo huenda zingeepukika.
Hivi nchi mnazoenda kutembelea hamjifunzi tu kitu cha kufanya?
Oneni aibu kwa kuchelewa kujenga dual carriage way ya dar to morogoro tunazidiwa na nchi kama Zambia kweli?
Acha uvivu, soma uzi hadi mwishoNi profesa wa vitu gani huyo?...
YesHuyu ndo alikuwa na vipindi vya uchumi ITV?
HuyohuyoHuyu ndo alikuwa na vipindi vya uchumi ITV?
Uchumi wa kati.Ni profesa wa vitu gani huyo?...
Lipumba je, (naandika kupunguza huzuni nilionao tu mkuu)Again ndugai kabaki inauma sana
Sijui ni kujibu nini ndugu. Huyu Professor kwenye kipindi mashuhuri cha Uchumi wetu ITV hukumuona? Mwanahabari nguli Simbeye akimhoji kila uchwao hukumuona? Ana Ngowi TV na Clubs za Ujasirismali ziko online. Wewe ukishika smart phone unaingia site za kutafuta kachumbari za game la usiku au pia unatumia mitandao kujiongezea maarifa? Mimi ni mtu mzima Sana kiumri Ila umaarufu wa Prof Ngowi hata kama sikuwa namfahamu kwa sababu ya KAZI zangu bado ningemfahamu mno. Amekufa mitandao imelipuka kila Kona mpaka Facebook. Amemzidi hata Prof Mathew Luhanga alipofariki ilikuwa normal. Ila huyu ni exceptional figure. Nenda mitandaoni ukasome Ecology za watu ndiyo utamjua vyema. Siku zote tuchimbe issues zaidi kuliko kulaumulaumu. Usiku mwema.Kwa nini watu muhimu kama hawa,hamuwajulishi na wenzenu wengine,ili wafaidike kwa ushauri.Mpaka wanafariki,ndio unapata habari zao.
Tuacheni ubinafsi,ikiwa kuna watu muhimu,tujulishaneni.
Ilichotokea ni kwamba inasemekana dereva wa Lori alisinzia hivyo akaipiga pasi Noah ambayo ilikuwa inaenda Moro na ilikuwa mbele ya V8 iliyombeba Prof.Anaongelea defensive driving , ambayo haswa ni package mahsusi unapoendesha executives.
Unaweza kuona tu ni lori limeangukia hiyo land cruiser , lakini dereva mahiri hawezi kuingia kwenye akward situations kirahisi.