TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Moro - Dar hyo road inatakiwa ipanuliwe , 6 lanes , mtashikana Sana uchawi , single lane hamna kila kitu , kuna wakati msururu wa magari unafika km6 ,
Wala siyo lazima 6 lanes mkuu just 3 au 4 lanes tosha kabisa
 
Rudia kusoma uzi upya, tena kuwa makini sana maana watu kama ninyi ndiyo hupelekea kusaini mikataba mibovu sababu ya uvivu tu wa kusoma kwa kina habari husika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni profesa wa vitu gani huyo?...
20220328_174028.jpg

20220328_174030.jpg
 
R.I.P

Hii barabara isipotanuliwa na kuweka dual carriage way tutaisha sana kwa kweli lawama tutawapa sana madereva lakini ukweli tuuseme barabara hii ni bado ya kizamani hailingani na matumizi ya idadi ya magari iliyopo sasa.

Wanasiasa hebu tumieni hicho kiwango cha posho zenu kuokoa maisha ya watu kwa ajali ambazo huenda zingeepukika.

Hivi nchi mnazoenda kutembelea hamjifunzi tu kitu cha kufanya?

Oneni aibu kwa kuchelewa kujenga dual carriage way ya dar to morogoro tunazidiwa na nchi kama Zambia kweli?
Inawezekana dereva alisinzia lori ikaacha njia.
Nashauri serikali iongeze mabehewa na Injini mizigo yote isafirishwe na treni njia ya Kati na Tazara njia ya mbeya / zambia / Drc .

Malori yamekuwa na Fujo Sana mabarabarani.
 
Pumzika kwa Amani prof.
Ila kinachoniuma zaidi nikuona mtu huyu akililiwa na watu kila Kona wakati Mimi ndo nimemjua leo baada ya kifo chake

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Kweli kujulikana Kuna faida zake .angalia anavyoliliwa Kama kanumba vile
 
Akina Ndugai wao wanaondoka lini jamani kumfuata mungu wa kabudi
 
Kwa nini watu muhimu kama hawa,hamuwajulishi na wenzenu wengine,ili wafaidike kwa ushauri.Mpaka wanafariki,ndio unapata habari zao.
Tuacheni ubinafsi,ikiwa kuna watu muhimu,tujulishaneni.
Sijui ni kujibu nini ndugu. Huyu Professor kwenye kipindi mashuhuri cha Uchumi wetu ITV hukumuona? Mwanahabari nguli Simbeye akimhoji kila uchwao hukumuona? Ana Ngowi TV na Clubs za Ujasirismali ziko online. Wewe ukishika smart phone unaingia site za kutafuta kachumbari za game la usiku au pia unatumia mitandao kujiongezea maarifa? Mimi ni mtu mzima Sana kiumri Ila umaarufu wa Prof Ngowi hata kama sikuwa namfahamu kwa sababu ya KAZI zangu bado ningemfahamu mno. Amekufa mitandao imelipuka kila Kona mpaka Facebook. Amemzidi hata Prof Mathew Luhanga alipofariki ilikuwa normal. Ila huyu ni exceptional figure. Nenda mitandaoni ukasome Ecology za watu ndiyo utamjua vyema. Siku zote tuchimbe issues zaidi kuliko kulaumulaumu. Usiku mwema.
 
Anaongelea defensive driving , ambayo haswa ni package mahsusi unapoendesha executives.
Unaweza kuona tu ni lori limeangukia hiyo land cruiser , lakini dereva mahiri hawezi kuingia kwenye akward situations kirahisi.
Ilichotokea ni kwamba inasemekana dereva wa Lori alisinzia hivyo akaipiga pasi Noah ambayo ilikuwa inaenda Moro na ilikuwa mbele ya V8 iliyombeba Prof.
Lori liliyumba na kontena kuangukia gari ya Mzumbe walipopishana. Maelezo kutoka kwa waliokuwa kwenye Noah iliyopigwa pasi
 
Back
Top Bottom