t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Tukipata hata dual carriageways za 2 by 2 inatosha , tatizo lipo Tanroad , hawajifunziKifupi njia ya Dar, Morogoro au Dar chalinze ilipaswa kuongezwa walau njia zisizopungua mbili hadi tatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukipata hata dual carriageways za 2 by 2 inatosha , tatizo lipo Tanroad , hawajifunziKifupi njia ya Dar, Morogoro au Dar chalinze ilipaswa kuongezwa walau njia zisizopungua mbili hadi tatu.
Siyo tetesi ni kweli kafarikiInasemekana gari yake imedondokewa na gari iliyobeba kontena Morogoro
Mara nyingi Prof amekuwa mchambuzi wa uchumi Tanzania kwenye vyombo vya habari
RIPSio tetesi kafariki...!!
Makasiriko yote haya ya nini??Mmefukuza madereva wazuri kwa sababu za kipuuzi za vyeti fake mara sijui dereva naye awe form four wakati mbunge ni darasa la saba, pumbavu kabisa.
Qualification ya driver ni driving license na siyo hawa waliokosa ajira kwenye soko la ajira na kukimbilia udereva, kuendesha Passo yako ni tofauti kabisa na professional driving.
Ukiwa unasafiri jihadhari sana na hizi plate namba za STL, DFP na SU, hakuna madereva humo siku hizi ndio mitambo ya kupeleka watu kuzimu.
We ulitaka aondoke nani ambaye si wa muhimu? Binadamu wote ni wa muhimu ila tumegawana tu majukumu. Hata bodaboda,mamantilie wote ni muhimu. Prof.kamaliza kipande chake alichopangiwa Mungu amuweka mahali anapostahili.Jamani jamani. Watu wa maana wanaondoka. Tunabakiwa na .....
R.I.P Prof Honest Ngowi
Speeding inahusika piaAnaongelea defensive driving , ambayo haswa ni package mahsusi unapoendesha executives.
Unaweza kuona tu ni lori limeangukia hiyo land cruiser , lakini dereva mahiri hawezi kuingia kwenye akward situations kirahisi.
Mbona wakiwa hai,hamtoi habari za watu muhimu kama Hawa,ili wananchi wengi wafaidike,hata ushauri wao tu.Hapa JF,pawe na platform,ya wa watu muhimu,ili wananchi wapate ushauri kutoka kwao.What a sad day jamani. Apumzike kwa Amani. Wengi tulifaidika nae.
Hafi mwanaadamu mpaka ajali yake ifike. Haya mambo si ya bahati mbaya. Yalipangwa hivi toka Honest Prosper Ngowi yumo tumboni mwa mama yake. Tumshukuru Mungu Mwenyezi na kuwaombea dua maiti.Duh,kumbe ndo ajali hiyo ,kuanzia madafu mpaka mlandizi kulikua na bonge la folebi,tukachepukia old morogoro road,.Apumzike mahala pema