Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

Eti nyani kaona kha sasa anataka kutema bungo. Ni vizuri yaishe na Amani itamalaki.
 
Walau uwe na leverage,kea taifa kubwa kama urusi,eneo lolote kutekwa ni ndoano kinywani
Kiufupi operation ya Ukraine huko Kursk imeferi na haina faida yeyote kimkakati zaidi zaidi imeifaidisha Urusi kuteka maeneo zaidi ndani ya Ukraine baada ya ngome za ulinzi za Ukraine kudhohofika kutokana na kuondoa wanajeshi na silaha kuzipeleka kwenye uvamizi wa Kursk,hata baadhi ya makamanda wa ngazi za juu ndani ya jeshi la Ukraine wameikosoa.
 
Na mbaya zaidi wameanza kudundwa
 
Kuna kauli ameiongea juzi, anadai pamoja na Ukraine kuivamia na kuikalia Kursk, hiyo haijapunguza uwezo wao wa kupambana kule Donbas.
Nikawakumbuka Warusi wa JF ambao kila siku wanadai maelfu ya askari wa Ukraine wameuawa na Russia imeikimboa Kursk wakati rais wa nchi anakiri jamaa wameikalia.
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Kwani hilo hakulijua toka mwanzo?!!hahaaaa,Warusi wa Buza hali tete!!
 
Urusi hana gharma za hivyo ..hizo gharama machie us na madollar yake kwenye private company
 
Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Jipe moyo angalau upoze machungu
 
Ww jamaa kilaza kweli yaani Ukraine imeteka km za mraba 1000 ambazo ni sawa na ukumbwa wa kata 2 hapa tz ndo uje kuzitumia kama turufu ya kukomboa mikoa minne?
Aliekwambia wamemaliza kuchukua eneo la Urusi na vita imeisha nani? Unaona basi, unaniita kilaza wakati wewe una kiherehere kutoka na kujibu kama round ya kwanza halafu unajikuta umeingia kinyume cha maumbile na huwezi kurudi!
 
Ni jambo jema ,Kwa hilo tutamsifu Putin, Putin kuendelea kumtwanga jirani Ukraine ambaye madhara kwake ni madogo kuliko maadui zake NATO. USA alisoma mchezo mapema akijua Putin hiyo vita hatashinda, wangejua atashinda mapema USA wangeshinikiza Ukraine aombe mazungumzo ya amani mapema ili vita isitokee. Kabla ya wiki moja USA alisema Ukraine atasha,buliwa na Rusia, USA alikuwa anatafuta namna ya kumuua Rusia kiuchumi kwa kuharibu bomba za mafuta kupelekea ulaya.
 
Umenena vema zimepigwa hapersonic missiles nyingi sana pale Ukraine lakini vita haiishi, jeshi la Ukraine hakuna kusalimu amri, kuingia kwa NATO kwa njia ya siri wakijifanya trainners kumbe ni wapiganaji. Rusia amepata hasara kubwa na Ukraine. Vita ya Ukraine jirani na jamii moja na Rusia haina faida yoyote kwa Rusia. Ukraine amepata hasara kubwa lakini pesa za Russia ambazo USA na NATO wameshikilia ndo zitajenga Ukraine
 
Aliekwambia wamemaliza kuchukua eneo la Urusi na vita imeisha nani? Unaona basi, unaniita kilaza wakati wewe una kiherehere kutoka na kujibu kama round ya kwanza halafu unajikuta umeingia kinyume cha maumbile na huwezi kurudi!
Sasa hivi vikosi vya Ukraine vimesha dhibitiwa kusonga mbele ina maana sasa hivi hawana uwezo wa kuteka maeneo zaidi ndani ya Urusi.
Na muda sio mrefu waaanza kusukumwa nje ya mipaka ya Urusi.

Hii operation ya Kursk imekosorewa mpaka na wabunge wa Ukraine yenyewe.
 
Mtoa post na wenzako humu mnaoshangilia NINAWAONEA HURUMA SANA KWASABABU HAMNA UWEZO WA KUCHAKATA TAARIFA. Halafu hoja ya Putin kuhusu mazungumzo hata HAIHITAJI AKILI KUBWA BALI NI AKILI YA KAWAIDA TU/COMMON SENSE.
Sasa nyie hata COMMON sense inashindika
 
Aliwasikiliza vijana wa hovyo wa JF🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…