Kupitia post hii shakujua .. endelea na upumbavu wako!Sinaga starehe.
Labda starehe yangu ni Kumtumikia Mungu.
Hao wamepatwa na Ajali kwa kuendekeza upumbavu utoke mbeya hadi Dar kisa Mpira hapana kwakweli.
Starehe nyingine ni ujinga.
Zaidi ya km 822 na mwendo wa saa 15 kisa Mpira wa akina Fredy..
HUko kwenye.... anakaosema anamtumiki Mungu huku hapa anashangilia vifo vya Binadamu! KIMSINGI kichwani mwake hanachochote zaidi ya hicho anachokiita ... Kumwabudu Mungu!Tafta mme uolewe upo so desperate
Ongezea Diamond na HarmonizeKUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
Sijakuuliza weweWanakuhusu nini?
HATUKUSIKII. Hata hapo ulipo tu hilo jengo linaweza kuporomoka.Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Wewe ndiye unayeleta hizo hisia, kwa nini siku zote unakuwa na mtazamo hasi? Hili swala watu wote wameonyesha masikitiko lakini wewe unataka kukaribisha mjadala utakaoleta malumbano.Mods tendeni haki futeni huu uzi.Awali ya yote nitangulize pole kwa waliopata ajali, Mungu awawekee wepesi wapone haraka na kwa familia zilizowapoteza watu wao kipenzi, Mungu awalaze mahala pema.
Humu pamekuwa ni sehemu ya uzushi, uvumi, uongo na mtu analeta uzi wa namna hiyo huwa anaachiwa uzi wake wa namna hizo usomeke.
Hii ajali ingetokea upande wa Yanga nyuzi zingeongozana hapa kwa ID tofauti tofauti na kila mmoja angelihusisha na jambo la matokeo ya timu na kujifanya wanajua ya ndani kabisa.
🤔Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Anavyoleta uzi Genta za kuichafua Yanga mnatulia kimya. Nyuzi zenu zilifika mbali hadi kwa Ally Kamwe dhidi ya mtoto wake. Kuna uzi mkaandika kuwa kwanini Yanga wakicheza lazima mtu afiwe au afe hizo nyuzi hazileti malumbano? Hii ajali ingetokea kwa Yanga mada za kafara zingekuwa nyingi hilo halina ubishi.Wewe ndiye unayeleta hizo hisia, kwa nini siku zote unakuwa na mtazamo hasi? Hili swala watu wote wameonyesha masikitiko lakini wewe unataka kukaribisha mjadala utakaoleta malumbano.Mods tendeni haki futeni huu uzi.
Naona kipande cha Ruvu Vigwaza kinataka damu za watu sikukuuu hizi.Pole hata bila picha ungetafuta uhakika wa habari huenda ni abiria tu ila wamevaa jersey za Simba #wapone haraka#
Drivers wajitahidi kuwa makini wote tushakubaliana njia zetu si nzuri umakini lazima uongezeke
Moderator ,Paw huyu jamaa muondoeni hili jukwaa tafadhali maana ana tatizo la afya ya akili.Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE